Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Hakika sikuafiki kabisa! Kiukweli maswali yanayoulizwa ni ya kawaida ambapo kila mtu inapaswa ajue. Na tena ni halali ya kila mwananchi. Wengine hawajafikia malengo kwa kosa la kutokujua. Kwa kutumia mitandao tujulishane yale tusioyajua ili tuyajue.
Kikawaida ndugu unaweza ona ya kawaida kwa mtazamo wako lakini Luna baadhi ya maswali yamevuka mipaka lakini ikiwa hujui utaona ni ya kawaida ndio maana baadhi ya vitu nikamuelekeza Libya sehemu husika ya kujibiwa maswali yake kwa ufasaha humu tayari mmeshaambizana Luna form zinauzwa ndio apate nafasi sasa mambo kama haya ndugu hayafai hata kidogo sawa kiongozi, Mimi sasa hv nikwambie unipeleke sehemu hiyo inayouzwa form utanipeleka? Jadilini masuala ya nafasi kutoka lini na si form zinauzwa wapi? Na si kila aliye humu mtandaoni basi ana ronja ya uhakika, na msitafute shida na mateso yasiyokuwa na lazima kwa baadhi ya mambo, jeshi ni rafiki wa RAIA tii sheria utaona mambo yanavyonyooka, utafanikiwa ukienda kiutaratibu.
 
Uhalali wa baadhi ya maswali yenu ipo sehemu halali ambayo utajibiwa kwa uhalali zaidi na si katika mtandao, imetengwa ofisi maalumu wilayani kwa ajili yako wewe Raia toa uoga nenda kaulize utafahamishwa kirafiki zaidi, na kwa sasa ukitapeliwa kisha uje kushtaki sheria inaanza na wewe kwanza, Mkuu wa mafunzo alishatoa maelekezo mapema juu ya hizo form,
 
Wale wa mwezi wa saba nawakumbusha leo ni tarehe 31 mwezi 7 mwaka 2017...hivyo mnaruhusiwa kusimamia msimamo wenu hadi mwezi wa saba mwakani panapo majaaliwa.
AKHSANTENI
 
Tunakumbushana tu kuwa mwezi wa nane teari umeshafika
 
IPO kaka kila kitengo ndio maana huwa na madakitali wa jesh
Samahani mim alikuwa naomba ushaur nimemaliza certificate ya nursing sasa pindi nafasi zitakapo toka mnanishaur niambatanishe na vyet vyangu vya chuo au niweke vya form4 tu maan naambiwa et jkt wanaaangalia fani kama huna fani huwezi chaguliwa jkt..nishaurin hapo jaman maana sielew chocht
 
Ndio unaweza ambatanisha man iwe copy.mm nimemaliza form four 4 tangu 2015 ila process nimeanza mwaka huu
 
Aah sawa kiongz wangu na vp zile tetes kwamba et ukiambatanisha na vyet vya chuo wanakukata hawakuchagui vp kuna ukwel wowte hapo mkuu
 
Ntakudanganya sina huwakika.ila sioni kama kunakukataliwa ila zile form zina sifa za meombaji mengi zaid jaribu kuwa karibu na wahusika sekita ya polis nao wanajua
 
Dah huo uandishi wenu hapo juu makamanda mnaniacha hoi sana kwa kicheko mara "Madakitali" mara "Sekita" hatari sana makamanda
[emoji1][emoji1][emoji3][emoji1][emoji1]
 
What I have heard,the vacancies for National service, will be opened in early February, let's keep in touch via this thread,we all patriotic, and we are ready to save our national, I guss it will be soon done as long as there are newly expected camps, that will be opened soon,
Mmhhhh
Kweli hii lugha ilokuja na majahazi ina ugumu wake.
Hapa nimetoka kapa kabisa yaani.
Msaada Wa tafsiri mkuu
 
Kikawaida ndugu unaweza ona ya kawaida kwa mtazamo wako lakini Luna baadhi ya maswali yamevuka mipaka lakini ikiwa hujui utaona ni ya kawaida ndio maana baadhi ya vitu nikamuelekeza Libya sehemu husika ya kujibiwa maswali yake kwa ufasaha humu tayari mmeshaambizana Luna form zinauzwa ndio apate nafasi sasa mambo kama haya ndugu hayafai hata kidogo sawa kiongozi, Mimi sasa hv nikwambie unipeleke sehemu hiyo inayouzwa form utanipeleka? Jadilini masuala ya nafasi kutoka lini na si form zinauzwa wapi? Na si kila aliye humu mtandaoni basi ana ronja ya uhakika, na msitafute shida na mateso yasiyokuwa na lazima kwa baadhi ya mambo, jeshi ni rafiki wa RAIA tii sheria utaona mambo yanavyonyooka, utafanikiwa ukienda kiutaratibu.
Wewe nae acha kutisha watu, bado upo enzi za zamani. Acha nikupe mfano kitengo CIA cha marekani yaani kama Usalama wa taifa kwa Tanzania, kimeweka taarifa zake zake zisizo za siri Mtandaoni, cha ajabu wewe unataka kuzuia uhuru wa watu kupashana habari. Kitu gani kinahatarisha usalama wa myu, nchi au jeshi linalozungumziwa hapo juu? Acha na wenzako wapate taarifa na kujiunga na keshi lao acha kuwakatisha tamaa.
Naona upo kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mim alikuwa naomba ushaur nimemaliza certificate ya nursing sasa pindi nafasi zitakapo toka mnanishaur niambatanishe na vyet vyangu vya chuo au niweke vya form4 tu maan naambiwa et jkt wanaaangalia fani kama huna fani huwezi chaguliwa jkt..nishaurin hapo jaman maana sielew chocht
Weka kila kitu,usijali,saiv wanawataka xana watu wa afya kambi nying mpya za JKT hazina hao watu,we weka vyotee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom