Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

M nilienda juzi kwa mkuu wa wilaya yangu nikaingia ofisi ya mshaur wa mgambo nikauulizia kama nafasi za kujiunga na jkt zimeshatoka au bado wakaniambia bado ila niwe naenda kuuliza uliza kila siku .
Vipi kwa yule ambaye anatoka Mashewa huku Korogwe vijijini naye unamshauri awe anaenda kuulizia mara kwa mara kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya pale Korogwe mjini,kwanini asipate taarifa hapahapa kuokoa gharama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom