Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Unafatilia huu Uzi vizuri kabisa sehemu panapo nichanganya nauliza mtanisamehe lakini.

Um! TPDF ni nini? Inahusika na nin? Na ili uwe TPDF inakuaje au unachaguliwaje .in short I need to know all about TPDF .ahsanteni karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
TPDF ni Tanzania Peoples Defence Force au JWTZ kwa kiswahili...

KIMEO CHANGU
 
Na kutoka JKT kujiunga JWTZ huwa wanaangalia vitu gani au huwa ni bahati kuchaguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka JKT kwenda JWTZ na majeshi mengine kuna vitu vingi tu wanaconsider Kama Physical Fitness, Elimu na Ujuzi Wakati mwingine mpaka kimo Japo sio mara nyingi sana hapo Polisi na Magereza wanaconsider sana!!! zaidi Kupitia JKT sio Guarantee ya Kuwa JWTZ maana wanaokuja kuchukua Kuruta huko ni majeshi au Idara zetu zote....

Kwahiyo kwa maelezo yako , kuchaguliwa JWTZ ni bahati mbali na hizo x-stics maana na majeshi mengine pia wanaconsider elimu na ujuzi and such things of the same like sio tu JWTZ.karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ambaye alipitia JKT Mujibu na akaenda chuo, then baada ya kumaliza chuo akitaka kwenda JWT ataenda tena JKT maana JWT huajiri/hukata bogi direct from JKT, au utaratibu ukoje waugwana
Naomba ufafanuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada hapo juu jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa sheria ni wale Vijana wa Form6 ambao hukaa miezi mitatu tu wanarudi home na n
mpaka Sasa wapo kwenye makambi mbalimbali nchini wanaendelea....Kujitolea ndio hao wanaoenda kama ajira baada ya mafunzo ya kijeshi na mengine mengi tu...Ndio wanakuja kuchukuliwa na majeshi mengine...
kujitolea hapa ni STD VII mpaka Bachelor holder...

KIMEO CHANGU
 
Nauliza samahani!
Kwamfano ikatokea wametangaza nafasi za kujiunga JKT form zitakua zinapatikania wap? Na inakuaje mpaka watu wanahonga ili tu wapate form kwani form huwa ziko limited zikihisha hizo ndo basi hata kama bado number ya watu imesalia wanaohitaji form .karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza samahani!
Kwamfano ikatokea wametangaza nafasi za kujiunga JKT form zitakua zinapatikania wap? Na inakuaje mpaka watu wanahonga ili tu wapate form kwani form huwa ziko limited zikihisha hizo ndo basi hata kama bado number ya watu imesalia wanaohitaji form .karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona upo kazini
 
Hakuna Form wala Application Fees!! I think kutakuwa na barua ya maombi tu Mara nyingi huwa znatumwa kwa Mkuu wa wilaya na ndipo usaili hufanyika

KIMEO CHANGU
 
Kuweni making kwa maswali mnayoulizana, naona mpo huru sana, peaneni namba baadhi ya maswali mkaulizane private ama kwa unayeitwa Libya ikiwa unataka kufahamu mengi zaidi juu ya jkt nenda wilaya iliyo karibu yako ukifika ulizia ofisi ya mshauri wa mgambo hapo uliza maswali yote utapata majibu, in case of anything hata ukiwa askari huna ruksa ya kujiachia kwenye mitandano, kuweni makini katika hili
 
We ulisha pata mkuu

We ulisha pata

Hakika sikuafiki kabisa! Kiukweli maswali yanayoulizwa ni ya kawaida ambapo kila mtu inapaswa ajue. Na tena ni halali ya kila mwananchi. Wengine hawajafikia malengo kwa kosa la kutokujua. Kwa kutumia mitandao tujulishane yale tusioyajua ili tuyajue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom