M nilienda juzi kwa mkuu wa wilaya yangu nikaingia ofisi ya mshaur wa mgambo nikauulizia kama nafasi za kujiunga na jkt zimeshatoka au bado wakaniambia bado ila niwe naenda kuuliza uliza kila siku .Yeye ameuliza kwaniaba ya wengi,je wote unawshauri waende kwenye kambi za JKT?
Sent using Jamii Forums mobile app