Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Kikubwa ombeni wapunguzwe kwa kupata ajira ila kuhusu kutemwa msahau sababu wame sign mkataba wa miezi 6 tena mpaka mwezi wa 12 kwa OP kikwete ambao muda wao wa miaka miwili ulishaisha na pia mkae mkijua OP muungano wengine mpaka sasa wapo makambini na Hawa OP magufuli ndio wameapa juzi, kikubwa muwe na subra na mfuate taarifa sehemu husika msidanganye, ni hilo tu.
Kwa hiyo mnatka kusema kwamba mwaka huu nafasi zinaweza zisitoke kwa wakujitolea...
 
Jamani tuwe na moyo wa uvumilivu serikali kupitia wizara ya ulinzi na JKT inajua mipango & mikakati iliyojiwekea, nafasi zitatangazwa tuu hizo zingine ni tetesi tuu za watu wanaojifanya wajuaji wa mipango ya serikali utadhani wao ni sehemu ya watoa maamuzi wa serikali.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu cjui kama watatoa nafasi maana kuna intake tatu kuanzia2015 nliopiga nao kozi hadi waliomaliza kozi mwaka huu hakuna ajira zilizotolewa kwa hiyo watu wapo tu vikosi vya uzalishaji jkt kusubiri ajira

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitment
We ndo mkuu wa jkt unasema hayo
 
Kwaiyo utaratibu halali wa kuomba nafasi ni upi???

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwenye namba ya Mkuu wa itifaki wa JWT anitumie kuna mijeshi mijizi inatapeli watu kwa kisingizio cha kuwaunga na JKT kumbe hewa wanataka kuanzia laki tano na kuendelea namba zao ninazo na wengi tunafahamiana mpaka majumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too difficult kwa sababu hautakiwi uwe umezaa na Madaktari Kutoka hospital ya Lugalo ndo watagundua kua wewe ni Mmama Jeshi ni kwa Wasichana tuu.

mkuu hizi zinatofaufi gani na za jkt? ahsanteh
IMG_20170723_163101.jpg

dracular
mpare wa milimani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom