Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Wakuu samahanini ninapenda kujua utaratibu wa kujiunga JKT mujibu wa sheria mwenye kujua ni utaratibu gani napaswa kuupitia anijuze.... nilihitimu kidato cha sita mwaka 2013 na sikwenda JKT kwa sababu ya kujiunga na chuo
Mkuu ukipata jibu ya jinsi ya kujiunga unijulishe maana me mwenyewe sikwenda sababu ya muda wa Chuo ulikua umefika hivyo tukaambiwa tuandike barua Na kuahidi kujiunga Mara baada ya masomo
 
Mkuu ukipata jibu ya jinsi ya kujiunga unijulishe maana me mwenyewe sikwenda sababu ya muda wa Chuo ulikua umefika hivyo tukaambiwa tuandike barua Na kuahidi kujiunga Mara baada ya masomo
Nenda Makao Makuu Ya JKT Pale Watakupa Utaratibu

Vinginevyo Wasubili Matapeli
 
Mbona vijana wamesha graduate mafunzo ya jkt ...kwamfano kanembwa wamemaliza siku kama 5 zilizopita wameonesha TBC ....na kambi nyingine siikumbuki wameonesha Leo kwny habari wamehitimu ....
Subirini nafasi mpya tena Labda
Jamani wakuu mim napenda nijiunge jkt ila leaving certificate sina sasa kweli naweza kuruhusiwa kujaza fomu ya kujiunga endapo nafasi zitatangazwa
 
Jamani wakuu mim napenda nijiunge jkt ila leaving certificate sina sasa kweli naweza kuruhusiwa kujaza fomu ya kujiunga endapo nafasi zitatangazwa
No,huwez cha msingi ni kwenda police kufuata lose report then nenda shule uliyomalizia masomo yako utapewa leaving certificate kwa mara nyingine,hivyo usijali mkuu n suala la kufuata taratibu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom