issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
Mtu yeyote mwenye uwezo wa kumuingiza mtu jkt tuwasiliane
Bro naomba uni pm namba akoNo,huwez cha msingi ni kwenda police kufuata lose report then nenda shule uliyomalizia masomo yako utapewa leaving certificate kwa mara nyingine,hivyo usijali mkuu n suala la kufuata taratibu tu.
Jaman hv kwani kila kambi inachukua vijana wangapi kwa wakujitolea maan nimeona hawa form six wamechukuliwa wengi yaan kambi moja vijana hata 2000 sasa mim nikilinganisha hapo sioni haja ya kutafuta mtu na kuliwa pesa tu kama ukiwa na sifa zote unachaguliwa tuHabari ndugu wana jf
Kama kichwa cha habari kinavojieleza ningependa kuuliza kkuhusu nafasi za JKT za kujitolea mwaka huu zitatoka lini. Mwenye taarifa atujuze ili tujipange vizuri, ahsanteni sana
Watu mnajianika humu..0713601208
Oh! Naomba ufute my namba.Watu mnajianika humu..
Walisema watatoa wa 7?Wadau mwezi wa saba ndo huu tuxubil tuone
Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitmentAnayejua nafasi za kujiunga na jkt zinatoka lini mwaka wa 2017 naomba anijuze..!!
Huu ndo uhalisia mkuu.Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitment
Mbona nilickia ckia tetesi kuwa nafasi zitatoka mwez huu wa saba...!!Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitment
Mbona nilisikia tetesi zinatoka mwezi huu wa saba...!!Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitment
Tetesi ni kweli zipo zinaweza kutangazwa wakafanya usahili then wakakaa mguu pande miez 6 ndio waitwe vikosini kama hao waliomalza mafunzo juz walikaa mtaani miezi mingi sana cha muhimu kuliko vyote ni wale waliopo vikosini wapungue iwe kwa kupata ajira au kwa kutemwaMbona nilickia ckia tetesi kuwa nafasi zitatoka mwez huu wa saba...!!
Kwa hiyo ni kwamba ajira hakuna coz watu tuna moto alaf wanachelewesha mzigo..!!Tetesi ni kweli zipo zinaweza kutangazwa wakafanya usahili then wakakaa mguu pande miez 6 ndio waitwe vikosini kama hao waliomalza mafunzo juz walikaa mtaani miezi mingi sana cha muhimu kuliko vyote ni wale waliopo vikosini wapungue iwe kwa kupata ajira au kwa kutemwa
Mkuu zikiwepo utajua sababu zitatangazwa kama hazitakuwepo pia utajua cha muhimu ni afya yako kwa ajili ya kulitumikia taifa lakoKwa hiyo ni kwamba ajira hakuna coz watu tuna moto alaf wanachelewesha mzigo..!!
Sawa mkuu haina shidaMkuu zikiwepo utajua sababu zitatangazwa kama hazitakuwepo pia utajua cha muhimu ni afya yako kwa ajili ya kulitumikia taifa lako
Mkuu waliopo kambi za malezi na uzalishaji mali ni SM/SG wengi sana mimi nafikiri labda wakipungua ndio watafikiria kuongeza wengine au wale mikataba yao ikiisha watemwe kinyume cha hapo ni ngumu sana kusema ni lini watafanya recruitment
Sahihi kbs mkuuKikubwa ombeni wapunguzwe kwa kupata ajira ila kuhusu kutemwa msahau sababu wame sign mkataba wa miezi 6 tena mpaka mwezi wa 12 kwa OP kikwete ambao muda wao wa miaka miwili ulishaisha na pia mkae mkijua OP muungano wengine mpaka sasa wapo makambini na Hawa OP magufuli ndio wameapa juzi, kikubwa muwe na subra na mfuate taarifa sehemu husika msidanganye, ni hilo tu.