Nafasi ya ushirikina kwenye mapenzi!

Nafasi ya ushirikina kwenye mapenzi!

Mpendwa ee, Siye ya kwetu ni Jimi wa kusafiri,kusafirisha fast fasta na kuleta tende za Mfungo na mavazi ya sikukuu tu !!

Lakini zenu ni za mahabaat !! Yala yala Khaloo usiniangushe.....!
Sky Eclat nae yupo mnazi mmoja !!

Zamiluni Zamiluni hivyo vya kuku na mbuzi vinaexpair, unajikuta umemaliza kazi hutaki kurudi nyumbani, ni kheri kumtegemea Mungu.
 
Tatizo lugha uliyotumia kiasi inaukakasi. Kuna Tatizo kubwa la watu kuchanganya kati ya ushirikina na uganga wa jadi. Ushirikina hufanyika kwa kificho na kwa mila na desturi za mwafrika ushirikina ni uovu.

Kwa namna furani washirikina hutumia nguvu walizonazo ima kuwatesa watu kwa maradhi au kwa mikosi. Waganga wao hufanya Kazi kwa lengo la kuisaidia jamii. Hii ni pamoja na kutibu maradhi na kutoa mikosi.

Tiba za jadi zaweza kusaidia penzi kumea, kustawi na kudumu. Wasukuma husema ”bhugota na masala” wakimaanisha dawa hufanya vzr ukichanganya na akili.
 
Mimi nadhani ushirikina ni pamoja na maelekezo au dawa za waganga ambazo mtu anatafuta ili kumsaidia kufanikisha matakwa yake pasipo maarifa au njia za kawaida.
 
Tusidanganyane watu wangekua hawaend basi mabango yangeisha na wangerud kijijin kulima.
 
Back
Top Bottom