Ukishinda utafanyia nini hela?Hupati kitu wewe. Mi na co-workers wangu tumenunua mi ticket kibao. Lazima tushinde leo.
Ukishinda utafanyia nini hela?
Halafu siyo "powerful" jackpot ni Powerball jackpot.
Ukishinda utafanyia nini hela?
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!Nita adopt watoto wawili
Nitachagua orphanage moja niipe msaada wa dola milioni 5
Nitanunua Maserati 2
Nitanunua condo South Beach
Nitanunua nyumba Buckhead