Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!

Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO.

SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 4 TU UTAFURAHIE RADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA.

1. SYNGNATHUS
Hawa ni samaki wajukikanao kama pipe fish kutokana na umbo lao refu hupatikana baharini na upatikanaji wake ni mgumu sana kwani huogelea ndani kwa ndani hivyo kufanya bidhaa hii iqw adimu sana.
Samaki hawa tafiti zinaonesha kuwa zinasafisha figo na kuimarisha kazi ya figo na kukupa uimara wa tendo la ndoa ambao ulikuwa umedhoofika kwa kudhoofika kwa figo.

Hivyo samaki hawa huvuliwa ,husafishwa,hukaushwa na kutengenezwa katika unga kisha huchanganywa na mimea mingine kutengeneza vidonge vya asili kabisa.

2. EPIMEDIUM

Hii ni mimea ambayo ina maajabu yake na imekuwa kama lulu nchini china na maajabu yake ni pale hata mifugo inapotumia mimea hio katika malisho imeonesha kuwa na shauku kubwa ya kufanya tendo la ndoa zizini.
Sasa mimea hii baada ya kuwekwa kwenye TAFITI MAAJABU YAKE YAMEFICHUKA KUWA NA FAIDA KUBWA SANA KATIKA MWILI WA BINADAMU KATIKA MAGONJWA HAYA.

~Inaongeza SHAUKU YA TENDO LA NDOA (LIBIDO)
~INAONGEZA MBEGU ZA KIUME (SPERMS) NA VICHOCHEO VYA KIUME YANI TESTOSTERONE
~INAONGEZA SHAUKU YA TENDO LA NDOA AMBALO UTAFURAHIA TENDO LA NDOA MUDA WOWOTE NA SEHEMU YOYOTE BILA HOFU KABISA.
~INAONGEZA UWEZO WAKO WA KUWEZA KURUDIA TENDO LA NDOA MARA NYINGI UWEZAVYO

MORINDA OFFICINALIS

Hii pia ni mimea asili ambayo imekuwa ni kipaumbele jatika tafiti mbali mbali za mimea asili kwenye kutibu nguvu za kiume.
Mimea hii imeonesha uimara wake kwenye kufanya jazi hizi

~Kutibu kabisa tatizo la kutopata mtoto
~kutibu kabisa matatizo ya uhanisi
~Kutoa mbegu za kiume nyingi kiwango cha kutosha kutungisha mimba.
~Kufika kilele HARAKA kabla ya nwezi wako na kushindwa kuendelea (pre mature ejaculation)

4. BUTEA SUPERBA

Hii pia ni mimea asili ambayo hupatikana sana katika nchi za thailand na china pia india.
Mimea hii imenesha tafiti kuwa inauwezo wa kuzuia PDE5 na kuwengeza kiwango cha damu kinacho kimbia sehemu za siri na kukupa nguvu za kutosha kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Kumbuka bidhaa hii inafanya yote haya bila kuathiri mfumo wa fahamu kama bidhaa zingine za kemikali zinavyo athiri wakati zinafanya kazi.

HIVYO MPENDWA MIMEA YOTE HIO IMEHIFADHIWA KATIKA KIDONGE KIMOJA TU KATIKA TECKNOLOJIA YA KISASA.

DOSE: DOSE NI VIDONGE VINNE TU

MATUMIZI: UNAKUNYWA KIDONGE KIMOJA KILA SIKU (500mg) MASAA MATATU BAADA YA CHAKULA CHA USIKU.

Imetolewa na
KHALID GUGU

DAR ES SALAAM: +255 (0) 714 206 306

POPOTE ULIPO UTAPATIWA BIDHAA HII RAFIKI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZO

USISAHAU KULIKE PAGE YANGU YA AFYA YA UZAZI NA USHAURI.
 
Asante sana mkuu, je kwa wale wanaoishi nje ya nchi kuna utaratibu wa kupata hiyo dawa?
 
Fanya mazoezi tu na kula chakula cha protein na epuka kula vyakula vya mafuta mafuta utarudi vizuri na fanya timing tu unapofanya hiyo kitu
 
naomba nikutibu kamandamamia kwa maelfu wananifuatainbox kufuata tiba gharama zangu ni elfu ishirintu nakutumia maelezo ya kuandaa matunda kitaalanu kuna hatua nne 0712505049
IMG_20160406_154158.JPG
Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
 
Duuuuh! kweli watu tunatofautiana yaani mimi natafuta dawa ya kupunguza kumbe kuna waliopungukiwa ni shiida thanks! Allah"
 
Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
Hii kazi huwa ni ushirikiano wa wewe na malkia, je yeye anakusaidiaje? Au na yeye anageukia upande wa pili kukusubiri? Basi mtasubiriana sana
 
Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
Unatokea Dar???
kwanza hilo bao moja unaenda kwa mda gan, tuanzie hapo...
 
Badilisha life style yako. Achana na vitu vinavyokupa mawazo,kula vyakula vilivyo vizuri haswa vyenye madini ya zinc,maji ya kutosha kwa sababu maji ndiyo kila kitu kwenye mwili wa mwanadamu,lala kwa wakati at least 7-8 hrs hii itasaidia kwenye utendaji mzuri wa ubongo na kubalansi kwa homoni kiujumla. Maliza hatua hiyo kwanza mengine yatafuata. Asikudanganye mtu dawa kuhusu nguvu ya kiume wakati hata maji lita moja haufikisha na kila siku chips yai na misoda kwenda mbele. Utakula hadi mapumbu ya simba lakini tatizo litaendelea...
 
Hapo ndio nilikua napataka, ndio maana kila mara nilikua namuuliza suala sio mara kumi wala mara moja, Je wote wanaridhika? Hilo ndio jambo la muhimu, nashukuru kwa kuelezea kwa ufasaha mkuu.
Mi napiga bao moja tu lakini nahakikisha kwenye bao langu moja,mke wangu ashakojoa mara mbili au tatu.Kikubwa sina papara ninapokuwa nafanya nae mapenzi.Nafanya maandalizi mazuri zaidi ya dakika 45 mpaka nihakikishe 'amekojoa'hata mara mbili,nikipanda mi na 'kabao'kangu kamoja na yeye akapiga tena kamoja,inakuwa 3-0(tatu bila).

UTAMU WA PIPI NI MATE YAKO MWENYEWE!
 
Sijui kwanini kila nikifungua hii thread narudia kusoma hii comment!!!
We jamaa KM 60-80 au 120 unazijua?Una maana jamaa kama anaishi Dar akimbie asubuhi mpaka Morogoro!
 
Mimi nikiiona tu papuchi namwaga hapo hapo hata kabla sijaingiza dushe!
 
Back
Top Bottom