Nadhani Mbowe siyo gaidi

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
3,860
2,000
Mbowe hana kesi yoyote ni usanii tu, Mbowe, Samia, Tundu, Membe & Co. wote lao moja na wana kesi ya kujibu kama siyo hapa Duniani basi kwa Mungu …
 
Mbeba Lawama

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
443
1,000
Tunzen hii coment, Mbowe anaandaliwa kukabidhiwa hii nchi kama mandela ilvyokua mana kwenye sura ya dunia Tanzania k demokrasia inapicha mbaya sana kwaio il kubalance shobo kwa mataifa hayanayotuweka mjin lazma kijit apewe mbowe na atakua tayar kufata maelekezo yote kutoka juu hapo ndio tanzania itakua imefkia hadhi ya nchi ya ahad sio kwa miundombin wawekezaji uchumi mpka technlogia.. nawasilsha
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,455
2,000
Hivi nyie nyumbu gang shule mlienda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kwamba mahakama ni muhimili unaojitegemea?
Yawezekana unajitegemea kama ilivyo mihimili mingine, ila umezidiwa na mhimili wa serikali. Hata JPM aliwahi kusema hayo. Yaani yote ni mihimili lakini mmoja ndio unalisha mingine - kwa hiyo......
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,646
2,000
Kikubwa umoja wa ulaya kupitia yule mwamba mjeshi mstaafu wanaupiga kwelikweli niswala lamuda tu
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,183
2,000
Kikatiba inatakiwa iwe hivyo ila kiuhalisia! Sio hapa kwetu Tanzania, au umesahau kwamba kuna mhimili umejichimbia chini zaidi?
Kumbuka wote hao Majaji wameteulia na Rais, so atatawaburuza atakavyo.
Hii kesi haiwezi kufutwa sababu ya principle,, alichosaidia tu, amefanya iwexe kwenda haraka na hivyo haiwezi kuchukua miaka 5,lakini eti kuamuru kesi ifutwe hilo halitawezekana kamwe,, vumilieni tu
 
mtolewa

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
635
500
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.

Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya. To me, such movement ni ya kawaida kwa wanasiasa, wote wanafanya. Lazima utafute taarifa za wapinzani wako.

No matter what Mbowe did, mimi binafsi siamini kam Mbowe was planning kulipua vituo vya mafuta au kufanya actions za terrorism kiasi cha kuua watu au kuleta hofu kiasi hicho. Sina ushahidi wa maneno yangu, lakini siamini tu.

Lakini jambo lingine ambalo pia siamini, ni lile linalosemwa na baadhi ya watu kwamba eti Rais Samia anataka kumfunga Mbowe. HILO SIAMINI HATA KIDOGO.

WHY?
1. Sioni sababu ya Rais kumfunga Mbowe miaka 15. Kwa sababu ile kesi nimeambiwa adhabu yake haipungui miaka 15 jela. Sioni sababu ya Samia kufanya hivyo. Mbowe sio mtu tishio hivyo kwa utawala, huku nje kuna watu wanaweza kuwa tishio kabisa na wanadunda.

Tusichukulie poa influence ya Tundu Lissu hata kama yuko abroad, that man got influence kwa wapinzani anaweza kusambaza sumu kubwa tu mtandaoni. But alichokifanya Rais Samia ni kumfutia kesi zote za uchochezi, alikuwa na kesi 5 zote zimefutwa. That tells a lot, ina maanisha Samia yuko tayari Lissu arudi.

Huku nje kuna Mnyika, Zitto Kabwe na wanasiasa wengine. Kina Shekhe Ponda, Jenerali Ulimwengu na wengine wanaendelea kuwasha moto wa Katiba, KWA NINI WASIKAMATWE?

Sioni sababu hata moja Samia atake kumfunga Mbowe.

2. Kesi ya Mbowe ina hasara kuliko faida kwa Rais anayetengeneza jina lake. Huyu Rais anataka watu wamuamini, hawezi kucheza iyo karata ya kuendelea na kesi au kuja kumfunga Mbowe. HAWEZI KUFANYA KOSA HILO.

So, sielewi kwa nini kesi hii iliyofunguliwa na Awamu iliyopita bado ipo. I just beleive kuna sababu za msingi sana zinazofanya iendelee na Rais Samia aipishe kabisa.

Mtandaoni kuna watu wanasema Rais hakupewa taarifa za kweli and all that, labda ni kweli labda kuna mengine.

Ninachoomba hii iishe salama. WE NEED PEACE AND UNITY OF OUR NATION NOW THAN EVER.
Too late, too little. Mwache Mbowe apambane na kesi. Samia atajijua na Hali yake. Aidha napingana na wewe kuhusu faida na hasara. Kesi hii ina faida sana kwa taifa kuliko hasara.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,098

%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F.jpg
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg
FB_IMG_1589397986327.jpg
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,874
2,000
Nyumbu mama yako aliyezaa toto linaloingiliwa kinyume cha maumbile kama wewe, ndiyo maana hata avatar yako umeweka mtu anayeingiliwa. Shame. Hata mods nawashangaa kuiacha avatar ya mtu anayeingiliwa.
Lool...!

Kwa maelezo haya ilibidi nikaitazame avatar yake huyu Kiturilo na kumuona mwanamke mrembo amelala chali. Sasa sijui ndiye yeye huyo Kiturilo anaingiliwa..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom