"Kunguru hafugiki"
wanawake wana ID nyingi sana ambazo wametufungulia mioyoni mwao achilia mbali ambazo wanazi mention wazi wazi!
kuna mdada mmoja leo masikini wa watu siku nzima simu ya mtu wake haipatikani.. conclusion aliyotoa ni huyo jamaa kuwa na kimwana mwingine.. basi ID alizo mention hapo.. nilijihisi niko kwenye chupa!
shame on us.. men and you women!
Yote kwa yote...ila haya majina mnayotupangia siyo!!. generator.?
...ni hatariInabidi ukomae nayo hivyo hivyo utafanyaje sasa . Uitwe kidumu au generator uwemo tuuu lkn jamani humu kuna maneno kiasi kwamba unakua up to date. Huko nyuma niliwahi kushangaa msemo wa serengeti boys, sikua najua maana yake . Kwani kuna dada alikua ananunua kitu akasema hiki ni cha serengeti boy wangu , ikabidi niliyekua nae nimuulize baada ya kuachana na yule dada nikaeleweshwa. Nilibaki kinywa wazi kwani dada yule alikua ameolewa .
Me ndo maana huwa siwaelewi alafu wao ndo wanaoomba game na wala siyo sisi wakishapata tamu wanakuja kuimanga huku mie sijapenda hii tabia yao hawa wanaume...
Mtulie sasa lah sivyo mnalo tena haki sawa ndo balaaa
Hahaha, hivi ukiwa na majenereta mawili ni ufisadi? Na umeme wangu ni 3-phase. Ushauri mwaniwani
Ina maana.??
Jaman kwan kweny game tamtam 2napata sisi 2?thn nw days uombaji wa game hata ke mnafanya sana, mara nying huwa indirect
habari za asubuhi miss chagga?
kamwe haitokaa itokee mwanaume kutulia!
DELILA ALICHOTUFANYIA KWA KIJANA MWENZETU SAMSON NI MFANO HALISI KWAMBA HATUTAKIWI KUWAAMINI NINYI MILELE NA MMOJA NI MARUFUKU!
Ina maana wewe hujawahi kuomba game?
sasa nyie vitembezeni tuuu kumbe na wewe ujatulia aiseeee
unaogopa kuomba hata ukiwa na genye kwel?ymie sijawahi omba mchezo kabisa
Mmmmmh hapa kuna harufu ya generator...!
unaogopa kuomba hata ukiwa na genye kwel?y
🙄