Nachati na Generator

Nachati na Generator

mhh siamini....huwa hamsemi hila visa haviishi,Mara utingishe kalio,mara uchezee weak spots za mpenzi wako,Mara ushinde ndani uchi,Mara uombe massage ili mradi tu mwanaume ajue unataka

Toba!! basi nimeombwa na wengi sana!
 
Yaani mwanamke hata awe mchafu vipi, inapotokea unamwambia hajatulia analianzisha utadhani umemsingizia uwongo ambao haujawahi tokea ulimwenguni. Nashangaa hapa kila mwanamke anadai wametulia, unamsemeaje mwanamke mwenzako unamjua? Sema wewe umetulia, sio sisi tumetulia.
 
Topic imenigusa.nimejikuta nayapa magenerator nafasi kichwani mwangu.i never thought nitafika hapa.mi namwangalia tu huyu mtu wangu kwa macho na miwani.siku nikipress buton ataelewa maana ya hu jin ntwao
 
hahahahah duh! mwaka huu kaz ipo! kutoka kweny vidumu mpk generetor! duh kwl mwaka mpyaa
 
Back
Top Bottom