tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Wanagawia mbwa au wanaume?
Hebu atusaidie kuelewa maanake,hapa mwanamke ananyooshewa kidole utadhani ana shiriki ngono mwenyewe.
Wanagawia mbwa au wanaume?
Hebu atusaidie kuelewa maanake,hapa mwanamke ananyooshewa kidole utadhani ana shiriki ngono mwenyewe.
Tunatulia je nyie mmetulia kwani ?ama! haya makubwa! wanawake acheni hizo za kutubadili majina kila kukicha--atm, buzi, generator--sio pouwer hata kidogo. tulieni kwa waume zenu--mbona mnakuwa hivyo?
Me ndo maana huwa siwaelewi alafu wao ndo wanaoomba game na wala siyo sisi wakishapata tamu wanakuja kuimanga huku mie sijapenda hii tabia yao hawa wanaume...
Wanawake wa siku hizi yaaani hawajielewi kabisa da yaani in kugawa tu

Nyie ndo mnajielewa?
Mbona unaguna mkuuMmmmmh
Nashangaa mana mapenzi naona kama yamekua magumu sanaMbona unaguna mkuu
Inabidi ukomae nayo hivyo hivyo utafanyaje sasa . Uitwe kidumu au generator uwemo tuuu lkn jamani humu kuna maneno kiasi kwamba unakua up to date. Huko nyuma niliwahi kushangaa msemo wa serengeti boys, sikua najua maana yake . Kwani kuna dada alikua ananunua kitu akasema hiki ni cha serengeti boy wangu , ikabidi niliyekua nae nimuulize baada ya kuachana na yule dada nikaeleweshwa. Nilibaki kinywa wazi kwani dada yule alikua ameolewa .Nashangaa mana mapenzi naona kama yamekua magumu sana