Nachati na Generator

Nachati na Generator

Generator likiisha mafuta anahamia kwenye solar.
 
kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..!

kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa!

no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB!

Aisee!!!!
 
kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..!

kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa!

no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB!

Wala siye atuendi mbali ukiongeza nna me naongeza haki sawa mtajuta
 
Leo nimemtumia mwanamke hela!! Sijui atakuwa ananiita nani huko aliko?? maana mmmh!!
 
Back
Top Bottom