Nachati na Generator

Nachati na Generator

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,278
Reaction score
38,851
Leo asubuhi kaja mfanyakazi mwenzangu (mwanamke) ofisini huku kanuna.Nikamuuliza kulikoni? Yeye akajibu kuwa boyfriend wake hajapokea simu yake tangia leo saa sita usiku.

Baada ya muda kidogo nikamuuliza tena kama ameshawasiliana na huyo boyfriend wake,akajibu kuwa bado hawajawasiliana lakini anaonekana kama yuko 'bize' anachati.Nilipomuuliza kuwa anachati na nani hapo ndipo aliponipa jibu hili tena akiwa serious!
"Nachati na generator..Si unajua tena nyie wanaume wa bongo mpo kama umeme wa Tanesco? any time unakatika kwa hiyo ni lazima uwe na standby generator ili usipate tabu"

Nyie wanawake kweli kazi ipo....Yani mnatu-group huyu generator, huyu line ya tanesco!!.....Mwanaume unajituma kumbe wewe generator umeme ukirudi unazimwa unawekwa kando!!

:shock: :shock: :shock: :shock:
 
Hamuelewekiii.....afanyaje!! Akae giza na thikuku yote ya wapendanao! huyo bf lzm atakua na kitu kingine kwa ajili ya leo ndo mana kazilia bati hizo simu za huyo bidada!!
 
Haa haaa hii kali ya mwaka ......Generator lol....
 
Mmmmm alafu
 
Hamuelewekiii.....afanyaje!! Akae giza na thikuku yote ya wapendanao! huyo bf lzm atakua na kitu kingine kwa ajili ya leo ndo mana kazilia bati hizo simu za huyo bidada!!

Inawezekana miondombinu ya bf ni mibovu kama tanesco mvua kidogo nguzo zote chini.
 
teh teh, ila na yeye aliwekwa wa dharura ndio maana mawasiliano yamekatwa,
wanaume mnaboa.
 
Leo asubuhi kaja mfanyakazi mwenzangu (mwanamke) ofisini huku kanuna.Nikamuuliza kulikoni? Yeye akajibu kuwa boyfriend wake hajapokea simu yake tangia leo saa sita usiku.

Baada ya muda kidogo nikamuuliza tena kama ameshawasiliana na huyo boyfriend wake,akajibu kuwa bado hawajawasiliana lakini anaonekana kama yuko 'bize' anachati.Nilipomuuliza kuwa anachati na nani hapo ndipo aliponipa jibu hili tena akiwa serious!
"Nachati na generator..Si unajua tena nyie wanaume wa bongo mpo kama umeme wa Tanesco? any time unakatika kwa hiyo ni lazima uwe na standby generator ili usipate tabu"

Nyie wanawake kweli kazi ipo....Yani mnatu-group huyu generator, huyu line ya tanesco!!.....Mwanaume unajituma kumbe wewe generator umeme ukirudi unazimwa unawekwa kando!!

:shock: :shock: :shock: :shock:
baba njooo uone huku utafiti mtunze mama asije tafuta generator
 
Baba anamjali sana mama..si umekuwa ukilalama kuwa baba kakusahau kwa sababu ya mama.? labda mama atafute generator kwa tamaa tu lakini baba sina tatizo naye!
 
Wewe tena uache hiyo tabia baba yangu awezi fanya hivyo ... na nina mpenda baba yangu sana
 
ama! haya makubwa! wanawake acheni hizo za kutubadili majina kila kukicha--atm, buzi, generator--sio pouwer hata kidogo. tulieni kwa waume zenu--mbona mnakuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom