kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
ili husipate ukakasi wakati unasoma maandiko ya BIBLIA, ni vema ukasoma ya kiingereza pale unapoona ya kiswahili kama kuna utata imekupatia maana kiswahili kina maneno machache. ukiona ya kiingereza bado inakupa utata basi soma ya kiebrania ndipo utagundua hakuna sehemu BIBLIA imeruhusu pombe/kilevi. Ibrahim alitembea na mjakazi wake kwa habari ya kupata mtoto maana mkewe Sara alikuwa hana uwezo wa kuzaa huku umri ukiwa unawatupa mkono, swali je nabii tito anasema tutafune mahousegirl kwasababu wake zetu hawana uwezo wa kuzaa? kama sio dhiaka ni nini kusema wenye sura mbaya ni washetani wakati MUNGU ndiye aliyewaumba wote. kwanza divai au mvinyo ni kinywaji kilichotokana na zabibu sasa jiulize hizo safari lager anazoweka kwenye kastuli kake zinapikwa kwa kutumia zabibu? unapiga denda hadharani kweli? unakatika mauno kama shoga vile kweli? unajipodoa na kuvaa heleni mwanaume kweli?. ndio maana huwa tunawadharau wanawake hata kama ndio mama zetu, dada zetu. unakubalije kutumika kijinga na huyo mpumbavu tito?