Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Totauti ya tito na wengine wengi ni kuwa tito yeye kaamua kuwa muwazi kwa watz wote
 
Alichoharibu ni kuihusisha imani yake na dini nyingine.

Maana mtu anayezini/kunywa pombe anajua kabisa kwamba ukristo hamruhusu kufanya hivyo anakosea.hivyo hata huyu mlevi ukija kumwambia maneno yale ya tito hatokuelewa,mtagombana japo naye ni mlevi.
Nabii Tito ananukuu vifungu vya biblia na siyo vinginevyo,nilisikiliza clip yake akinukuu kifungu cha biblia kwamba tuwagegede wamama bila kondomu na tuwakojolee mulemule kwenye expansion joints zao,kutokufanya hivyo humchukiza Mungu:Soma Kitabu cha Mwanzo 38:1-10
 
mh wewe nenda tu kapige wauza chupi bila kinga majibu utayapata.

mkeo kinga ya kazi gani wakati lengo ni kuzaliana???
 
Back
Top Bottom