Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

HABARI,
"choupa moting,
Sasa usitumie lugha ya uchochezi unaposema ukristo upo nyororo huoni umetuma lugha ya kuudhi kama ulikosea rekebisha pale kwanza ili watakaokuja wasione ile wakatoa maneno makali dhidi ya dini nyingine kwani hilo neno kama umemaanisha dini inamaana na waumini wake pia.Rekebisha pale kwanza usitegemee kupata hoja ya msingi kwakutumia lile neno.Mimi hata ukiniita jina gani siwezi kasirika nimeshaitwa mengi kama hilo la ubongo wa Tishu N.K
Kwa maneno yako tu hayo unaonekani sio mtu wa kutoa au kujenga au kusikiliza hoja ila ni maneno ya kuudhi tu hizo ndizo hoja unaozo taka?Hatujengi tunabomoa kama ulikosema unasema unaeleweka mbona watu wengi humu wanakosea nikiwemo mimi tukisahihiswa tunakubali sasa wewe jamaa Duh,

LUMUMBA

Km umeudhika samahani sana ndugu yngu sikuwa na lengo la kukuudhi au kukukwaza.
Niliposema nyororo nilimaanisha kimakatazo. Ukiristu hauna makatazo strong na ndio maana watu wake wanafanya wanayoona nafsi zao znataka.
 
Manabii walishapita karne na karne huko. Hawa wanaoibuka sasa hv ni wahuni na wachumia tumbo. Hilo mnalijua ila mnataka kujifanya hamjui tu. Manabii mungu mwenyew huaandaa kabla hata hawajazaliwa. Hawatend dhambi wala kujihusisha na matendo ya dhambi hii inakua rahis kuwafanya watu waweze kuwaamini wanayowaambia kulko akiwa mwanadam wa kawaida ambaye ameshafanya ujinga kibao then aje ajiite nabii. Hawa manabii wenu wa sasa hv ukiangalia historia zao huko nyuma ni mashaka matupu, wengi wameshazini na inawezekana mpaka sasa hv wanaendelea kuzin, wameshaiba, wameshakusengenya, wameshakula mali za haramu na vitu vingne kibao leo anakuja anajiita nabii, hebu tuwe wakwel jaman, unaamini vp uwepo wa manabii kwa karbe hiz?
tito ni nabii kama wale wengine unaowapa heshima kuliko tito wanaoibuka karne ya leo.
 
nimefungua biblia nimekuta kinachosemwa na TITO kuhusu kilevi na uzinzi nikweli imeandikwa
 
Watanzania wengi tunajifanya watu wa dini sana.....Pretenders tu.
 
Dini haijawahi kumsaidia mtu, wengi wetu hapa kila mtu ana utambulisho wa dini either Mkristo, Mwislamu na dini nyingine, lakini maisha yetu yamejaa dhambi na uovu mwingi.

Leo hii tunaona dini inavyotumika kutapeli watu. Yesu hakuleta wala kuhubiri dini fulani, alifundisha kuhusu kuacha dhambi na kumfuata Yeye.
 
Kamanda: Unakubali kua ni kweli umefanya makosa?

Nabii Tito: Aah mimi nilikua na...

Kamanda: Jibu swali unakubali kua umefanya makosa?

Nabii Tito: Ila mimi sijaona kosa...

Askari random: Huyu bado mbishi

Nabii Tito: Mi nimeongea yaliyomo kwenye biblia

Kamanda: Mchukueni huyo
Alafu ili kupotezea. Wanasema kapimwa na wataalamu wa Mirembe hospital na kuona kuwa ana matatizo ya Akili. Rubish.
 
Nachokijua Yesu ajawai kusema yeye alikua dini flani aliubiri kumjua Mungu na kumtii
 
Dini ni dini kwa roho binafsi hakuna anaelazimishwa. Siku zote ukristo ni chukizo kwa uislamu hasa tunaposema Yesu ni mungu. Virce versa is true. Kuvumiliana ndio muhimu na sio kukamatana. Wanaoshabikia kukamatwa Tito ni wabovu kiimani hawajiamini wala kuelewa imani zao. Imani tunazong'ang'ania waliotuletea waalishazitupa kule. Unadhani Tito angekuwa ulaya au America angekamatwa. Hapa ni unafiki zaidi tunapinga mchana usiku tunakula.
 
Kiukweli mimi simuungi mkono nabii Titto kwa anayoyafanya lakini pia simpingi sana. Sasa leo hii watu wengi tunapombeka na pia tutatembea na vijakazi pia na kufanya mapenzi na wanawake ambao hatujawaoa tunafanya tu sana.

Kwa hiyo nabii Tito kaona atuletee dini inayoendana na matendo yetu maana hii dini ya Uislam, Ukiristo imetushinda kufata misingi yake.

Truth will set u free.
Kaka hongera kwa kufikiri kukubwa hivi,
Kifupi Tito ni km kioo cha tufanyayo,
Kuna funzo kuubwa sana nyuma yake,maana tunachanganya sana mambo na dini zetu,
Ss ni wanafki sana Tito siyo mnafiki kabisa,
 
Dini ya Tito imeanza kwa pombe Na ngono, bàadae itaenda kwenye sigara, kisha itaruhusu uchawi Na uuaji. Ukikosa sadaka unaruhusiwa kuiba ili ulete madhabahuni
Hayo yooote watu wameshika dini Na wengine viongozi na wanayafanya
 
Kwa wamarekani wanaoua watu kula siku, wao ni waislamu wa wapi?

HABARI,
"Chiwaso,
Nazungumzia Dini sio Nchi,Hatijataja Nchi kama ni Nchi zinazoua zipo nyimngi na IS wamechinja watu wa mataifa mengi Nimemshauri yale maneno ya Ukristo ni nyororo hayo ndio naona sio mazuri.

Brother, uzifahamu vizuri siasa za Dini. Ziko very complicated. Kati ya Waislamu wa sasa na Mungu,Nani Mkali.
Refer Case ya Mungu Vs Nuhu na watu wake.
 
Chiwaso
Hujanielewa ndugu mimi kwenye mambo ya uchambuzi wa siasa za dini na mengineyo sijaingia bado,Nimemshauri choupa mptong arekebishe kipenge alichosema Ukristo ni nyororo sana hilo tu kwani akisema hivyo nyororo ni pamoja na waumini pia hilo tu mambo ya siasa za dini na mengineyo hayo kila mtu anafahamu kwa uelewa wake ila tunachotakiwa hapa ni kuelimishana na sio kubisha.

Ni kweli kiongozi. Naomba nikutakie Lunch njema
 
Back
Top Bottom