Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Manabii walishapita karne na karne huko. Hawa wanaoibuka sasa hv ni wahuni na wachumia tumbo. Hilo mnalijua ila mnataka kujifanya hamjui tu. Manabii mungu mwenyew huaandaa kabla hata hawajazaliwa. Hawatend dhambi wala kujihusisha na matendo ya dhambi hii inakua rahis kuwafanya watu waweze kuwaamini wanayowaambia kulko akiwa mwanadam wa kawaida ambaye ameshafanya ujinga kibao then aje ajiite nabii. Hawa manabii wenu wa sasa hv ukiangalia historia zao huko nyuma ni mashaka matupu, wengi wameshazini na inawezekana mpaka sasa hv wanaendelea kuzin, wameshaiba, wameshakusengenya, wameshakula mali za haramu na vitu vingne kibao leo anakuja anajiita nabii, hebu tuwe wakwel jaman, unaamini vp uwepo wa manabii kwa karbe hiz?

Wewe nabii wako ni yupi????maana maana ninaowajua walitenda dhambi wote kwa udhaifu wa kibinaadamu.so usimpangie Mungu cha kuamua.

Hata Tito anaweza kuwa nabii,swala ni lini itafahamika.
 
Mbona mpishi wa pombe halewi???
nabii tito anafuata neno la biblia...ibrahim alizini na mjakazi wako na nabii tito anazini na mjakazi wake..biblia imesema kunyweni lakkini msilewe na nabii tito anakunywa pombe lakiini halewi...nabii tito hana kosa lolote lile
 
Kama tulishindwa kumuelewa Trump, ni ngumu sana kumuelewa Nabii Tito!
 
Wewe nabii wako ni yupi????maana maana ninaowajua walitenda dhambi wote kwa udhaifu wa kibinaadamu.so usimpangie Mungu cha kuamua.

Hata Tito anaweza kuwa nabii,swala ni lini itafahamika.

Mimk nabii wangu ni Mohammad (SAW), Issa Ibn Mariam, Suleiman, Yusuph, Daud nawengine wengi tu ambao walitumwa kuja kuwalingania wanadam wamuabudu mungu aliyewaumba na kuachana na miungu watu au vitu. Kwa imani yenu hata tito mumiamini tu maana anayoyasema yako kwenye kitabu chenu sasa mnampinga kwa lipi? Km unamuamin mkandamizaji unashindwaje kumhamin Tito.
 
nabii tito anafuata neno la biblia...ibrahim alizini na mjakazi wako na nabii tito anazini na mjakazi wake..biblia imesema kunyweni lakkini msilewe na nabii tito anakunywa pombe lakiini halewi...nabii tito hana kosa lolote lile
Si kila neno katka biblia ni agizo.

Yamendikwa ili kukupa uelewa mpana zaidi.
 
Alichoharibu ni kuihusisha imani yake na dini nyingine.

Maana mtu anayezini/kunywa pombe anajua kabisa kwamba ukristo hamruhusu kufanya hivyo anakosea.hivyo hata huyu mlevi ukija kumwambia maneno yale ya tito hatokuelewa,mtagombana japo naye ni mlevi.
Kwa jinsi ulivyoelewa wewe na mie hiyo bible ila yeye anatumia vifungu kuhalalisha mambo yake na uwakilishaji wake wa kihuni
 
Mimk nabii wangu ni Mohammad (SAW), Issa Ibn Mariam, Suleiman, Yusuph, Daud nawengine wengi tu ambao walitumwa kuja kuwalingania wanadam wamuabudu mungu aliyewaumba na kuachana na miungu watu au vitu. Kwa imani yenu hata tito mumiamini tu maana anayoyasema yako kwenye kitabu chenu sasa mnampinga kwa lipi? Km unamuamin mkandamizaji unashindwaje kumhamin Tito.
Sasa unakumbuka mohammad SAW amekuja kujitangazia unabii miaka mingapi baada ya kuazaliwa???huyu anayo tofauti gani na hawa wahuni wa sasa???
 
Hiyo ni dini yake, anayetaka kumfuata amfuate. Cha msingi asajili taasisi yake kama taasisi zingine za kidini. Suala la ufuasi ni hiari ya mtu.
 
Sasa unakumbuka mohammad SAW amekuja kujitangazia unabii miaka mingapi baada ya kuazaliwa???huyu anayo tofauti gani na hawa wahuni wa sasa???

Ndio maana nakuambia husomi vzr hoja zangu unakumbilia kucomment tu. Mbona kila kitu kimo hapo? Hebu tuliza kichwa pitia vizur kabsa utapata majib ya maswal yko. Kuna uwezekano uwelewa wako mdogo ndio umekuweka huko mpaka leo hii.
 
Dini ya Tito imeanza kwa pombe Na ngono, bàadae itaenda kwenye sigara, kisha itaruhusu uchawi Na uuaji. Ukikosa sadaka unaruhusiwa kuiba ili ulete madhabahuni

BUJIBUJI wafuasi wa pombe na ngono wako wengi sana, pia wafuasi wa sigara wako wengi sana, pia wezi tunao wengi sana ndio kila siku tunalalamikia ufisadi, Hivyo nabii TITO kaina fursa.
 
Huuu mchezo wa watu kujiiita manabiii hovyo hovyo haya ndio madhara yake, na tutalajie mengi ujinga huuu kuenenea
 
Sasa kama Muislamu umeambiwa usidhini, usinywe pombe nawe unatenda utakuwa mfuasi wa TITO tu..
Mkristo ameambiwa asidhini, asinywe pombe, naye anatenda hivyo vitu utakuwa mfuasi wa TITO tu..

Yeye dini yake inaruhusu ngono, pombe na wewe unavifanya sasa unaanzaje kumpinga nabii TITO utakuwa mnafiki tu..
 
Ndio maana nakuambia husomi vzr hoja zangu unakumbilia kucomment tu. Mbona kila kitu kimo hapo? Hebu tuliza kichwa pitia vizur kabsa utapata majib ya maswal yko. Kuna uwezekano uwelewa wako mdogo ndio umekuweka huko mpaka leo hii.
Mbona unapoteza malengo yako???

Mimi sijaona hoja ya kuonekana pale,nauliza tena vigezo vya nabii ni vipi???maana Tino na muhammad wanafanana sifa.
 
Tatizo lenu ndio hlo mko easy tempered na hamnaga hoja, mimj nimeuliza maswal hapo juu nataka majibu sio porojo. hakuna sehem uislam umeamrisha kuchinjana. ISIS ni makundi ya wahuni hata wewe unaweza kujiunga ila wanatumia kivuli cha dini kuendesha uhuni wao. Na hiv vikundi vnadhaminiwa na US na washirika wake. Unadhan wanapata wapi silaha au vifaa wanavyotumiwa ktk mapambano yao? Hizo ni propaganda za kushinda hii vita ya dini km hujui. Hawa watu wametengenezwa ili mtu km wew mwenye ubongo wa “tishu” uweze kuamini.

HABARI,
"choupa moting,
Sasa usitumie lugha ya uchochezi unaposema ukristo upo nyororo huoni umetuma lugha ya kuudhi kama ulikosea rekebisha pale kwanza ili watakaokuja wasione ile wakatoa maneno makali dhidi ya dini nyingine kwani hilo neno kama umemaanisha dini inamaana na waumini wake pia.Rekebisha pale kwanza usitegemee kupata hoja ya msingi kwakutumia lile neno.Mimi hata ukiniita jina gani siwezi kasirika nimeshaitwa mengi kama hilo la ubongo wa Tishu N.K
Kwa maneno yako tu hayo unaonekani sio mtu wa kutoa au kujenga au kusikiliza hoja ila ni maneno ya kuudhi tu hizo ndizo hoja unaozo taka?Hatujengi tunabomoa kama ulikosema unasema unaeleweka mbona watu wengi humu wanakosea nikiwemo mimi tukisahihiswa tunakubali sasa wewe jamaa Duh,

LUMUMBA
 
Mm sion km jamaa anakosa ..we km mkristo unaejua mungu na biblia huwezi fata mafundsho yake ...ww sikiliza mafundsho ya kanisani kwako then ukayatumie ..ya mungu mpe mungu ya tito muachie tito
 
Back
Top Bottom