Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

TUNAANDAA MSALABA ATASURUBIWA BALABALAA😀😀😀😀😀😀
 
Alichoharibu ni kuihusisha imani yake na dini nyingine.

Maana mtu anayezini/kunywa pombe anajua kabisa kwamba ukristo hamruhusu kufanya hivyo anakosea.hivyo hata huyu mlevi ukija kumwambia maneno yale ya tito hatokuelewa,mtagombana japo naye ni mlevi.

Hiv kweli ukristu hauruhusu kuzini au kunywa pombe? Divai ni nn mkuu, hebu nieleweshe. Mbona wakristu suala la pombe limekua kawaida sana mpaka ktk hata hafla zao za kidini pombe znakuwepo? Mvinyo sio pombe? Huku ktk kuzini ndio balaaa zaid. Ukristu unafungisha ndoa mwanamke kabisa ana mimba, mchungaji au anayefungisha ndoa hyo anajua kabsa huyu kazini ndio kapata mimba hyo na hampi kakipio lolote, imekua tabia ya kawaida mpaka wasiokua wakristu wanaiga. Kuna wengine wanaishi na mke miaka nenda rudi then unaambiwa wanaenda kubariki ndoa, ile sio ku-certify uzinz? Kanisa limekataza vp haya mambo mbona wanayaacha vizaz na vizaz yanayaiga? Asilimia 80 ya vijana wanaohudhuria ibada makanisani ni vimada na wanatoka kulala pamoja kabsa then asubuh wanaingia kanisani kwel kanisa halijui haya? Je wanakatazaje? Naomba elimu juu ya haya mambo mawili. Napata shaka sana kusikia ukristu unakataza pombe na uzinz.
 
Hiz tabia za kuitana manabii ndio matunda yake haya. Ukiristu uko nyororo sana hii dini, tukubali imeegemea kidunia sana na ndio maana hata sheria zake hutungwa kwa kuangalia nafuu ya mwanadam. Hivi manabii wamepita tokea enzi hizo leo hii mtu na akili zako unakuja kuamini kuna manabii. Eti masanja mkandamizaji yule mchekeshaji ni nabii dah jaman muogopeni mungu jaman. Sasa kwanini mumkatae tito kubalini tu.
 
Atachomoka kwa sababu hajasema anamiliki kanisa yeye anahubiri imani yake tu.
 
Mungu haruhusu kuzini wala kunywa pombe.

Divai na mvinyo utokanao na zabibu.

Ukristo haujawahi kumfungisha mtu ndoa ya jinsia moja,na hili swala halijawahi kuwa la kawaida.
Ndoa ni nini kwani mkuu???kazi ya kanisa au ukristo sio kuhukumu ndugu,Mungu pekee.

Una mambo mengi yanakuchanganya kiasi umeshindwa kuandika vizuri.
 
Hiz tabia za kuitana manabii ndio matunda yake haya. Ukiristu uko nyororo sana hii dini, tukubali imeegemea kidunia sana na ndio maana hata sheria zake hutungwa kwa kuangalia nafuu ya mwanadam. Hivi manabii wamepita tokea enzi hizo leo hii mtu na akili zako unakuja kuamini kuna manabii. Eti masanja mkandamizaji yule mchekeshaji ni nabii dah jaman muogopeni mungu jaman. Sasa kwanini mumkatae tito kubalini tu.
Kwani nabii yukoje mkuu!!!!
 
Rudia kusoma vizur maandiko yangu halaf ndio ucomment.
 
Alichoharibu ni kuihusisha imani yake na dini nyingine.

Maana mtu anayezini/kunywa pombe anajua kabisa kwamba ukristo hamruhusu kufanya hivyo anakosea.hivyo hata huyu mlevi ukija kumwambia maneno yale ya tito hatokuelewa,mtagombana japo naye ni mlevi.
nani kakudanganya ukristo unakataza pombe?
 
Hiz tabia za kuitana manabii ndio matunda yake haya. Ukiristu uko nyororo sana hii dini, tukubali imeegemea kidunia sana na ndio maana hata sheria zake hutungwa kwa kuangalia nafuu ya mwanadam. Hivi manabii wamepita tokea enzi hizo leo hii mtu na akili zako unakuja kuamini kuna manabii. Eti masanja mkandamizaji yule mchekeshaji ni nabii dah jaman muogopeni mungu jaman. Sasa kwanini mumkatae tito kubalini tu.

HABARI,
"choupa moting,
Kwahiyo ni heri uislam ulio imara wa kuchinja watu kama IS au sio.

LUMUMBA
 
Mungu haruhusu kuzini wala kunywa pombe.

Divai na mvinyo utokanao na zabibu.

Ukristo haujawahi kumfungisha mtu ndoa ya jinsia moja,na hili swala halijawahi kuwa la kawaida.
Ndoa ni nini kwani mkuu???kazi ya kanisa au ukristo sio kuhukumu ndugu,Mungu pekee.

Una mambo mengi yanakuchanganya kiasi umeshindwa kuandika vizuri.
kwenye biblia kuna neno kunyweni lakini msilewe....sasa ni nini kinacholewesha zaidi ya pombe....
 
HABARI,
"choupa moting,
Kwahiyo ni heri uislam ulio imara wa kuchinja watu kama IS au sio.

LUMUMBA

Tatizo lenu ndio hlo mko easy tempered na hamnaga hoja, mimj nimeuliza maswal hapo juu nataka majibu sio porojo. hakuna sehem uislam umeamrisha kuchinjana. ISIS ni makundi ya wahuni hata wewe unaweza kujiunga ila wanatumia kivuli cha dini kuendesha uhuni wao. Na hiv vikundi vnadhaminiwa na US na washirika wake. Unadhan wanapata wapi silaha au vifaa wanavyotumiwa ktk mapambano yao? Hizo ni propaganda za kushinda hii vita ya dini km hujui. Hawa watu wametengenezwa ili mtu km wew mwenye ubongo wa “tishu” uweze kuamini.
 
Afande alikua kwenye crusade pale dogo hana hatiaa
 
Nabii Tito ni mtu muwazi sana. Anaongea na kuhubiri yale ambayo binadamu wengi huyafanya tena wakijua dini zao hazikubali.

Wengi wa waumini wa leo ni walevi, wazinzi. Hata waumini wanaojiita waaminifu sana fuatilia kwa makini utagundua wanasaliti ndoa zao au kutembea na wafanyakazi wa ndani.

Tatizo la Nabii huyu ni kuja na dini yenye kuhalalisha masuala yanayotambulika kama dhambi lakini yakipendwa sana na binadamu/waumini. Pengine kakosea kukosoa dini zingine na kutosajiri huduma yake kwa mamlaka rasmi. Pia kakosea kuhubiri mitaani bila mipaka.

Kumpinga Nabii Tito sio kufoka na kumwambia atahukumiwa, sijui anapotosha hapana. Njia sahihi ya kumpinga Tito ni kufanya ibada ya kweli kwa kuepuka uchafu wote wa shetani. Kuacha USALITI katika ndoa, kuacha kunyemelea housegirls, kuacha kusimamisha watoto wa shule, kuukimbia ulevi, kuepuka husuda n.k

Kwa waumini wengi wa leo, kuacha dhambi ni mtihani mkubwa sana (is an immense opportunity cost). Acha Nabii Tito alete simple alternative.
 
Attachments

  • TITO.jpg
    TITO.jpg
    9.6 KB · Views: 29
Kwani nabii yukoje mkuu!!!!

Manabii walishapita karne na karne huko. Hawa wanaoibuka sasa hv ni wahuni na wachumia tumbo. Hilo mnalijua ila mnataka kujifanya hamjui tu. Manabii mungu mwenyew huaandaa kabla hata hawajazaliwa. Hawatend dhambi wala kujihusisha na matendo ya dhambi hii inakua rahis kuwafanya watu waweze kuwaamini wanayowaambia kulko akiwa mwanadam wa kawaida ambaye ameshafanya ujinga kibao then aje ajiite nabii. Hawa manabii wenu wa sasa hv ukiangalia historia zao huko nyuma ni mashaka matupu, wengi wameshazini na inawezekana mpaka sasa hv wanaendelea kuzin, wameshaiba, wameshakusengenya, wameshakula mali za haramu na vitu vingne kibao leo anakuja anajiita nabii, hebu tuwe wakwel jaman, unaamini vp uwepo wa manabii kwa karbe hiz?
 
Wamwache aendelee na unabii wake kwani halazimishi watu kumfuata.
 
Back
Top Bottom