Nabii Flora wa Mbezi Beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii Flora wa Mbezi Beach

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Yo Yo, Dec 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Umasikini ni kama uendawazimu - hasa hasa umasikini wa AKILI!
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hapa akimtabiiria mtu......
  [​IMG]
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mbona kanunua rangi?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.
   
 6. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tena huo ni mbaya sana kuliko wa pesa.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Anaganga njaa kwa mgongo wa biblia mwenyewe natafuta eneo nilianzishe.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Majirani zake wanalalamika anawapigia kelele....nasikia kapigwa pini kuhubiri neno
   
 9. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Amejichubua
   
 10. a

  amiride JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  du nabii gani mkorogo mpaka anatisha
   
 11. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Huyu sijawahi msikia,nabii Flora!du kazi ipo
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,532
  Trophy Points: 280
  Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.

  Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!.

  Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.

  Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

  Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

  Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.

  Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!.
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Upako una "SURA" nyingi - na hiyo ni mojawapo!
   
 14. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Katokea wapi?maana mwili wake ni "tetracyline"rangi mbili.Mungu tufungue macho ya kiroho
   
 15. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Huyu kweli ana upako wa kirangi-rangi.....

  Sasaaaaaa.... jamani huyu Mungu mbona tunamchezea hivi...
   
 16. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Yo yo...
  Huyo mdudu kwenye Avatar yako, si umfungulie aende zake.... anahangaika mno
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Inaonekana hilo kanisa halijaisha vizuri (angalia bado kuna makuti), lakini hilo sofa lake na hiyo coffee table (sijui inatumikaje hapo) leave a lot to be desired.

  Kama ningekuwa dar, ningejiunga na mamaMchungaji, Mh Lwa(Rwa)katare, maana nasikia kuna mikopo ya kufa mtu, huu umaskini ungenitoka. Hata waumini wa kanisa lake wameiva zaidi (sio wenye njaa kama hawa wa huyo Flora). Ila nawaambia, haya makanisa ndio yanavyoanza, give her 5 years utakuta anatembelea Vogue na walinzi.
   
 18. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Huu nadhani siyo upako; huu ni MPAKO (wa mkorogo)
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,512
  Trophy Points: 280
  ahsante mkuu nimekupata
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  uzuri niliskia waumini wake ni wale wa hali ya juu tu. hahitaji speaker, si ahubiri kwa mdomo tu? speaker haziongezi sadaka wala nini, why bother!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...