Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
kwani wewe unadhani sadaka kazi yake nini? na hiyo ya kununua rangi na nywele inahusika pia
ukienda church na weaving kama sadaka inabarikiwa zaidi
no wonder catholic wanakataa mapadri wanawake aisee
Mbona kanunua rangi?
 
wizi mtupu........amejituma mwenyewe huyo, aaaaggggrrrr........anatia kinyaaa!!
 
kwani wewe unadhani sadaka kazi yake nini? na hiyo ya kununua rangi na nywele inahusika pia
ukienda church na weaving kama sadaka inabarikiwa zaidi
no wonder catholic wanakataa mapadri wanawake aisee

Hiyo signature yako mimi hoi kabisa....... sasa bila kununua kitu? LIfe would have been........
 
Mpaka wanyama huko mbeleni watajiita mitume, manabii, maaskofu, wachungaji.
 
Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.

Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!.

Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.

Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.

Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!.

Safi sana mkuu;
Kuhakikisha anabaki RC

Karibuni Emaus Ubungo...............Kalismatiki katoliki.
 
hakika ukikutana nae gizani unaweza kutimua mbio kwani haeleweki, sura yake inarangi gani!@? Nahisi bila shaka atakuwa mkongo
 
Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.

Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!.

Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.

Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.

Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!.

Walifanya makosa, alitakiwa akuombe ruhusa, maana maandiko yanasema'' ndoa na iheshimiwe na watu wote''
 
Mh mlivomsakama mwenzenu kwa mkorogo utafkiri nini sjui..labda alijikoboa before hajajua kama atakuwa ‘mtume na nabii‘ na usikute leo anajutia inamuharibia ‘first time impression‘ kama ivo wengi mnavomjudge hapa!
 
Mimi ni moja ya majirani zake hapa, jumapili ni makelele tuu hapa hakuna amani!
 
IMG_3042.jpg.jpg

mavazi ya Nabii flora mhh.......

IMG_3052.jpg.jpg
 
Wizi mtupu,
Zama za unabii na utume zilishapita zamani za kale!!
Hao wote wa sasa Biashara tu!!!!!!
 
Wengine wanasema unabii alikuwa nao toka akiwa mdogo (miaka 3-6), lakini hakugundua! Ikawa anapatwa na mambo ya kimiugiza! Wakati fulani akawa kipofu kwa mwaka mmoja. Ningepeda kujua historia yake kwa ujumla.
 
Huyo sio Nabii.
Hakuna unabii tena baada ya Nabii Muhammad.
Nabii Muhammad SAW ni nabii wa Mwisho.
 
Kuran bila Biblia ni sawa na nyumba bila msingi. Ni sawa na kupe anavyodai eti naye ni sehemu ya ng'ombe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom