Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

Wekeni nanamba zakebasi tuanze kurusha tigopesa mpesa wengine tunaamini baraka tukiwabariki watumishiwa Mungu
 
Nimekutana nae lazima niombe mzigo, unabii nauweka kando kwanza
 
Watu mbalimbali wanapokea kila leo miujiza
1. Stika zipo na watu wanapokea miujiza
2. Mafuta yapo na watu wanapokea miujiza
3. Sabuni anatoa na watu wanapokea miujiza
4. Damu ya YESU anatoa kila siku saa10 kasoro Jumamosi na Jumapili
5. Anatabiri njoo ujionee mwenyewe na anavyotabiri na unajua wa kweli au uongo
0657442699 au 0753335673
 
Jamani sio kwamba tunawanenea vibaya watumishi wa Mungu lakini hembu check muonekano wa huyu nabii how come kajilemba hivi hiyo crown na nyusi alivozipaka wanja na lipsi zinaonyesha yaani mawazo mengine vichwani mwa watu nimeshtuka for sure mwonekano wake hauko mormal.samahani kwa ntaemkwaza but huu ni ukweli.
 
Watu mbalimbali wanapokea kila leo miujiza
1. Stika zipo na watu wanapokea miujiza
2. Mafuta yapo na watu wanapokea miujiza
3. Sabuni anatoa na watu wanapokea miujiza
4. Damu ya YESU anatoa kila siku saa10 kasoro Jumamosi na Jumapili
5. Anatabiri njoo ujionee mwenyewe na anavyotabiri na unajua wa kweli au uongo
0657442699 au 0753335673

hii miujiza hii jamani muwe na tahadhali....
kama unamwamini Mungu kweli ukimwomba we mwenyewe anasikia na atakusaidia...si mpaka sijui uombewe na mtu fulani.
kila nabii siku hizi anajitamba kwa miujiza hivi hamshtuki tu...kwani ibada ni miujiza?

turejee maneno ya Yesu mwenyewe( mathayo 24:24-25)
 
Wajinga ndiyo waliwao,Mungu hakua mjinga kutompa mwanamke unabii,hawa wa siku hizi sijui mtajibu nini siku ya kiama
GENTAMYCINE

manabii wanawake walikuwepo mkuu hata kwenye biblia wapo....
na in fact nabii sio kiongozi wa kanisa hapa ndio wengi leo wamedanganywa... maana kila nabii anaanzisha kanisa lake imekuwa kama biashara... huu utapeli sijui lini watu wataacha kuibiwa.
 
Last edited by a moderator:
ISLETS sikulazimishi uamini au kutokuamini
Juan kuwa Mathayo 10:41 jib u utapata kama uamini pia soma Mathew 16:19 au Mathew 18:18 jibu ukipata na unadili we zaidi ila kama ujapata
Nitafute msofe3@yahoo.com nitakufundisha jinsi ya kusoma biblia na sio kukariri au jinsi ya kutafakari biblia na sio kukariri
Ubarikiwe ndugu
 
huyu flora nilipanga kumuanzishia uzi muda mrefu xema nikapotezea

iko hivi ilikuwa ni likizo flan ndo nafunga chuo semeater ya pili nimekaa home km siku3 hiv nikiset mipango yang;broo jion ananipgia cm bn njoo hom huk mbez dogo amerauka/mwanae yaan km ana mapepo,wamempeleka kwa nabii flora salala,nikachukua bajaji mpk salasala nakuta wamemfunga kamba kwny moja ya machuma/mlingon ndan ya kanixa lak pemben ktk kit ukiwa unaingia kanisani

nikaanza kuhoj pale inakuwaj ndo shem ananiambia ooohh nabii katupa stika tuwek kweny maji anywe na nyingine awe anazungushia kichwani ili majin yaondoke;hiyo stika unayoion hapo moja n sh 5000 kwa hy mbil hiz n 10000. Stika imetengenezwa ktk mtindo wa karatas ngum na ina picha yake den unaizunguusha unaiwek kwny kopo la maji ndo unakunywa na ukiend hat nyumbani unachangany na maji ya kuoga na kumwagia sehem nyingine ya nyumba kwatafsir yak kwmb yanatok;nikahoji ufanyaji kaz wake nikaon cpati jib

tukaw kila jion xx tunahudhuria maombi nikashangaa kuwaona wamama watu wazima xn ndo wahudhuriaji wakubwa na kwa kuwachek wale wa mama ni watu wa mikoani walioweka kambi pale na wa naume kadhaa jamaa wa kupiga kinanda,mzee mmoja anaemsaidia huyo nabii,madogo flani nao wamikoa kwa kuwachek na wading wawil ambao wake zao nadhan wako kwny wazee wa kanisa,kuz kila zile sadaka zilpotolewa zilihesabiwa pale wale wamama na wadada wengine wakipewa chao/fair hao ndo wanaondoka

nikauliza hili kanisa mbona lina wanawake wengi,au wanawak ndo weny hofu ya mungu,n mbona watu wazima xn????
tukimpeleka kanixan km yanatulia kidg dn tukifika hom wemb ule ule,ukiend kwa nabii kuna private maomb na unatangaziwa uwe na sadaka yako mkononi ndo ukaombew

broo akawa anafany hivyo bt mm nikaon usanii mtupu

xx balaa ck nyngn dg akapndsh akaw anamfuat flora kwa nguv zote kumvamia nikasema huy akimvaa bas atamchanan kuz huyo nabii amejichubua mpk mishipa inaonekan,watu wakamshika wale wanaume na wanawak kadhaa ,flora naon anahem kw speed ;funga hayo mapepo kule(kwa saut ya nabii flora)

baadae tukarudi hom dog akapandish majin akaanz kusem yule nabii mwenyew anawatupia majin watu nilitak nimuumbue pale bahati yak;akaongea vitu ving xn,akaw anafany ishar nying na matendo ya ajab ambayo yaliwashangaz weng

nikamwambia bro hapo hz nguv ambz huend huy dg alipoend kwao tanga kw mama yak alichanjiwa xx nguv hixo xx ndo zinaibuka; cha msingi hapa ni kutafuta another mechanism tuangalie jins gan ya kuweza kusolve lacvyo tutahangaika makanisa yote;kwel akaufanyia kaz nw gd hakun shida tatzo tukalisolve

##kwa nabii flora kulikuwa na dem nmoja white hiv cute xn alikuw anapandisha xn kuulizia pale akaw anasem kaolewa na jini hat asubuhi cjui jin kamletea hela atumie ,mboyoyo kibao!

kuna kipind wakat wa maomb wale wamama wenyw wanajion wamekolea maomb mpk wanajiangusha chini;nikaobserv kumbe kuna watu wapo pale ktk kuigiza miracle

nabii akiingia anaingia na jamaa mmoja hiv kitamb kikubw km mbwiga ;flora ndo anamuwekea huyo jamaa mkono wak kweny bega wanatemvea mpk mbele pale,akishamfikisha jamaa anatoka nje anatulia o anakaa mule mule ndan anachezea cm wakimaliza wanatok mlango wa chin,kwa mbele anakohubir kuna mlango wa nyuma uko kwa chin kwajil ya kutokea nje

##cku hizo ambazo nilikuwa nahudhuria kimiyeyusho ndo hzo cku nae yule aliyefukuzwaga kazi huko bukoba yule trafki aliyekula denda na sare za jeshi la polisi nae alikuwa anakuj kuombewa;nabii akamtaj jina sijui fred nan mnamuon huyo, huyu ni kijana wang na hiyo kazi ameipatia hapa na punde anarud kazin piga kelele kwake.

akatangaza sabuni zake kuz huwa anazigawa jumapil kuz watu ndo weng kupiga mpunga weekl dyz wat wachache so biashara haitafanyika vizuri

##kuna vingi sijaviandika nikipata wasaa nitaleta uzi wake
 
nimeweka coment ndef inayomuulezea nabii flora,na kuhoji ufanyaji kaz wa hvyo vtu mods wameitoa comment
>matumizi ya stika
>utumizi wa sabuni
>unavyotoa sadaka ndivyo utakavyoombewa
>majin
>aina ya waumin wake ambao weng ni wamama wazee waliochoka toka mkoani waliowek kambi kwak,wanalala kanisani wanaamkia kanisani,na nilihoji wanafany kazi saa ngp mbon imani inawafany wanakuw wapumbavu
 
Siku za mwisho wengi watakuja kwa jina langu watatoa mapepo kwa jina langu na kutenda ishara kubwa kwa jina langu lakin mtawatambua kwa matunda yao. Eeh Yesu fungua macho yetu ya rohoni; eeh Yesu hata katika makanisa shetan anaweka kiti chake na kuwapa watu uwezo na kiti chake ili watende miujiza. Tufungue macho ya rohon. Shida zetu zisitufanye tuwe vipofu wa rohon
 
huyu flora nilipanga kumuanzishia uzi muda mrefu xema nikapotezea
iko hivi ilikuwa ni likizo flan ndo nafunga chuo semeater ya pili nimekaa home km siku3 hiv nikiset mipango yang;broo jion ananipgia cm bn njoo hom huk mbez dogo amerauka/mwanae yaan km ana mapepo,wamempeleka kwa nabii flora salala,nikachukua bajaji mpk salasala nakuta wamemfunga kamba kwny moja ya machuma/mlingon ndan ya kanixa lak pemben ktk kit ukiwa unaingia kanisani
nikaanza kuhoj pale inakuwaj ndo shem ananiambia ooohh nabii katupa stika tuwek kweny maji anywe na nyingine awe anazungushia kichwani ili majin yaondoke;hiyo stika unayoion hapo moja n sh 5000 kwa hy mbil hiz n 10000.Stika imetengenezwa ktk mtindo wa karatas ngum na ina picha yake den unaizunguusha unaiwek kwny kopo la maji ndo unakunywa na ukiend hat nyumbani unachangany na maji ya kuoga na kumwagia sehem nyingine ya nyumba kwatafsir yak kwmb yanatok;nikahoji ufanyaji kaz wake nikaon cpati jib

tukaw kila jion xx tunahudhuria maombi nikashangaa kuwaona wamama watu wazima xn ndo wahudhuriaji wakubwa na kwa kuwachek wale wa mama ni watu wa mikoani walioweka kambi pale na wa naume kadhaa jamaa wa kupiga kinanda,mzee mmoja anaemsaidia huyo nabii,madogo flani nao wamikoa kwa kuwachek na wading wawil ambao wake zao nadhan wako kwny wazee wa kanisa,kuz kila zile sadaka zilpotolewa zilihesabiwa pale wale wamama na wadada wengine wakipewa chao/fair hao ndo wanaondoka
nikauliza hili kanisa mbona lina wanawake wengi,au wanawak ndo weny hofu ya mungu,n mbona watu wazima xn????
tukimpeleka kanixan km yanatulia kidg dn tukifika hom wemb ule ule,ukiend kwa nabii kuna private maomb na unatangaziwa uwe na sadaka yako mkononi ndo ukaombew
broo akawa anafany hivyo bt mm nikaon usanii mtupu
xx balaa ck nyngn dg akapndsh akaw anamfuat flora kwa nguv zote kumvamia nikasema huy akimvaa bas atamchanan kuz huyo nabii amejichubua mpk mishipa inaonekan,watu wakamshika wale wanaume na wanawak kadhaa ,flora naon anahem kw speed ;funga hayo mapepo kule(kwa saut ya nabii flora)
baadae tukarudi hom dog akapandish majin akaanz kusem yule nabii mwenyew anawatupia majin watu nilitak nimuumbue pale bahati yak;akaongea vitu ving xn,akaw anafany ishar nying na matendo ya ajab ambayo yaliwashangaz weng
nikamwambia bro hapo hz nguv ambz huend huy dg alipoend kwao tanga kw mama yak alichanjiwa xx nguv hixo xx ndo zinaibuka;cha msingi hapa ni kutafuta another mechanism tuangalie jins gan ya kuweza kusolve lacvyo tutahangaika makanisa yote;kwel akaufanyia kaz nw gd hakun shida tatzo tukalisolve

##kwa nabii flora kulikuwa na dem nmoja white hiv cute xn alikuw anapandisha xn kuulizia pale akaw anasem kaolewa na jini hat asubuhi cjui jin kamletea hela atumie ,mboyoyo kibao!

kuna kipind wakat wa maomb wale wamama wenyw wanajion wamekolea maomb mpk wanajiangusha chini;nikaobserv kumbe kuna watu wapo pale ktk kuigiza miracle
nabii akiingia anaingia na jamaa mmoja hiv kitamb kikubw km mbwiga ;flora ndo anamuwekea huyo jamaa mkono wak kweny bega wanatemvea mpk mbele pale,akishamfikisha jamaa anatoka nje anatulia o anakaa mule mule ndan anachezea cm wakimaliza wanatok mlango wa chin,kwa mbele anakohubir kuna mlango wa nyuma uko kwa chin kwajil ya kutokea nje

##cku hizo ambazo nilikuwa nahudhuria kimiyeyusho ndo hzo cku nae yule aliyefukuzwaga kazi huko bukoba yule trafki aliyekula denda na sare za jeshi la polisi nae alikuwa anakuj kuombewa;nabii akamtaj jina sijui fred nan mnamuon huyo, huyu ni kijana wang na hiyo kazi ameipatia hapa na punde anarud kazin piga kelele kwake.
akatangaza sabuni zake kuz huwa anazigawa jumapil kuz watu ndo weng kupiga mpunga weekl dyz wat wachache so biashara haitafanyika vizuri

##kuna vingi sijaviandika nikipata wasaa nitaleta uzi wake

Hata kabla ya hii comment yako nilishapinga kwa nguvu zote kuwa huyu sio nabii, yoyote ambaye hakubaliani nami aje asome hii comment yako, Nilisema kwa uwazi kabisa anatumikia ufalme wa giza
 
fafanua mkuu imekutisha vipi.?
ukweli ni kwamba enzi za manabii na mitume zimepita. Manabii na mitume tulio nao sasa ni usanii tu.hakuna nabii au mtume anayemiliki kanisa.kazi za manabii na mitume huwa zinakwisha punde anapotoa unabii au anapofikisha ujumbe sio kumiliki kanisa.mkristo simama mahali ulipo ni salama
 
Ninapoamua kusali mahali huwa sivutwi na miujiza maana hata shetani huitenda.

Mahali sahihi pa kumwabudu Mungu huwa na-consider yafuatayo:

1. Je, dhambi inakemewa kwa kumaanisha?

2. Je, kuishi maisha ya utakatifu huhubiriwa kwa kumaanisha?

3. Je, mafundisho kuhusu kuirithi mbingu kuliko dunia yanapewa kipaumbele?

4. Je, viongozi wa kanisa wanayaishi wanayohubiri?
 
Back
Top Bottom