Ndugu zangu kuweni macho. Kama ni miujuza mbona mazingaombwe yalikuwepo tangu enzi na enzi? Tusivutwe na miujiza tutapotea. Someni biblia vizuri mtagundua kuwa mwanamke kusimama madhabauni ni chukizo kwa Mungu. Ibada za sanamu ni nyingi sana siku hizi. Hizo stika na sabuni anazowauzia ni sawa na sanamu. Ukiwa na imani kwa mungu wa kweli maombi yanatosha huhitaji vitu vya kuonekana ili uamini.