MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,719
- 4,992
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Manyoya 😈😈😈
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Sasa Umeniuliza Swali au Umeamua Kuniandikia Makala Maalum Tu?
Hivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
Mtumishi wa Mungu anajikoboa atawafundisha nini huyo
Kwa mda mrefu nimekuwa nikisikia kuusu nabii flora na mambo anayoyafanya! kabla ya kumreccomand mtu aende, waliowahi kwenda embu tupe ushuhuda ipo miujiza kweli? upo uponyaji kweli?
Je ipo katika misingi ya Mungu wa mbinguni! yani yule Mungu wa Meshack Shedrack na Abednego? toa maoni bila kutukana huduma ya watu bila kumtukana mtumish uyo! nataka expirience tuu kwa walioenda kama hujaenda usijeandika Mungu akakulaani.
je ni kweli anatumia sabuni iliyoombewa kama njia ya kuleta uponyaji na miujiza? je anatumia mafuta ya mzaituni kutoka Israeli kama njia ya kuleta miujiza na uponyaji?
Kwa wanaojua je sabuni kutumika kulete miujiza au uponyaji kuna mtu mwenye maelezo juu ya ufunuo huo! ingawa si wa kwako ndio lakini unaweza kuelewa! katika bible lakini.
Manyoya 😈😈😈
kuokoka si diniHivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
Mungu wangu..! Ndio huyu nabii mwenyewe?
Wapi wameandika kujikoboa dhambi???
Nabii kajikoki na mkorogo hevi
mimi haya mafundisho ya kusema fuata neno usifuate matendo ni ya kipuuzi maana Yesu alisema tutawatambua kwa matendo yao
Nabii kajikoki na mkorogo hevi
Mmmmm,
Ngumu kumeza hii
Nabii kajikoki na mkorogo hevi
Hata mimi nimepata mshangao mshana,
Ninamjua Huyo MTUMISHI Wa Mungu Tokea Akiwa Kigamboni, Kisha Kwa Mzee Willy Pale Mbezi Beach Maguruwe Na Mpaka Alipoanzisha Kanisa Lake Salasala. NINAMKUBALI 100% Kwani MAFANIKIO Yake KIMAOMBI Ni MAKUBWA Na Hayaelezeki Na Tokea NIMFAHAMU Sijawahi Kuona Mtu AKIENDA KWAKE NA ASIFANIKIWE. Lakini Pia TUSISAHAU Kuwa Dini Pia Ni IMANI Ya MTU Na Jinsi UNAVYOJIACHIA Kwa Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo. Kwa Mfano UNAKUTA MTU ANAENDA KUOMBEWA LABDA APATE MUME NA MTUMISHI WA MUNGU AKIMWOMBEA NA KUMTAKA AACHANE NA UMALAYA YEYE AKIRUDI TU KITAA MWENDO NI MDUNDO KWA WAUME ZA WATU Je Hapo UNATEGEMEA NINI MKUU? Nabii Flora Peter Ni MTUMISHI Wangu Na Namkubali Hadi Sijui Nisemeje Na Nahisi Nina DENI La Kumlipa Kwa Maombi Yake Ya UHAKIKA Kwangu Na Jinsi Mambo Yangu Yanavyozidi KUNYOOKA. Najisikia Mwenye Furaha Mno KUSALI Kwa Nabii Flora Peter Na Nichukue Nafasi Hii Murua Kuwakaribisheni Na Wengine Wote Ambao Mna IMANI HABA. Mtasikia Mengi Na Mtadanganyana Sana ILA Ushuhuda Wa Maombi Ya Nabii Flora Peter HAUELEZEKI. Namalizia Kwa Kusema " Kwa Msaada Wa Mungu Tutatenda Makuu Kwa Maana Bwana Atawakanyaga Watesi Wetu Zaburi 60:12 Na 108:13 ".