witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,746
Umeshawahi kuugua kichaa..??
We uliyewahi kuugua kichaa hebu nijuze....kipi hujakielewa hapo??
Umeshawahi kuugua kichaa..??
Toa uhakika kama amejikoboa,
Wew unamfahamu tangu mdogo kwamba anarangi gani au mnaongea tu??
Mweeh! Na shetani anawapigia hapo hapo...
Mungu wangu..! Ndio huyu nabii mwenyewe?
Wana allergy na ndoa
Bwana wetu Yesu Kristo hakuwa na dini kwa hiyo hakuhitaji kubadili dini.Yeye yuko juu ya dini.Dini ni mawazo ya binadamu tu, kwa hiyo hayana uhusiano na Bwana Yesu.Na kuhusu kuokoka, yeye hakuhitaji kuokoka,kwa kuwa yeye mwenyewe ndiye huo wokovu.
Ni jini au..??
yesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Toa uhakika kama amejikoboa,
Wew unamfahamu tangu mdogo kwamba anarangi gani au mnaongea tu??
Mkuu nafikiri humtendei haki muhusika,yeye kaeleza alicho ulizwa na anacho kifahamu kuhusu Flora,sasa mambo ya Lusifa na Ibilisi umeyaibua wapi?Ndio maana watu wengi wanakata tamaa na dini. Sasa wewe na uchafu wote unaoandika hapa forum eti unasali kwa nabii halafu tena amekusaidia? Basi atakuwa ni Lusifa mwenyewe na wewe ni ibilisi
Yesu hakuwa na dini wala hakuwa mkristo, tumeitwa wakristo kwasababu sisi ni wafuasi wa Yesu Kristo.
Yesu ni njia kweli na uzima, hakuna mtu awaye yote aweza kwenda mbinguni pasi na Yesu Kristo.
Hata Paulo huwa hawaelewi !
Mshana jr akisema kitu unapaswa kumsikiliza kwa umakini sana.Huyu si mtumishi wa Mungu kwa hakika bali ni mtumishi wa kuzimu aliyejivika kasha la unabii wa Mungu
Mshana jr akisema kitu unapaswa kumsikiliza kwa umakini sana.
Kaka kumbe na huku unapitaga?