Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...[/QUOTE Hayo ni mazingaombwe. Mtu hata ishi kwa asali bali kwakila neno litokalo kinywani Mungu.
 
 
Anaongozwa na mama wa kiroho. Kama waumini wapo sampuli hiyo pata picha mama wa kiroho atakuwaje

Mama wa kiroho ya Mungu au ya kuzimu? You can notice the difference
 
Mambo kama...?
Uponyaji, mahusiano au finances??
Funguka kidogo coz ushuhuda utasaidia wengi humu.

financial na pia kiroho alinisaidia pia aliweza kunitoa kwenye ulevi alishawah kuniombea nikawa nataka kupiga vyombo natapika na nina imani ni yeye amefanya yote hayo
 
financial na pia kiroho alinisaidia pia aliweza kunitoa kwenye ulevi alishawah kuniombea nikawa nataka kupiga vyombo natapika na nina imani ni yeye amefanya yote hayo

Thanks for sharing with us mkuu.
Kwahiyo bado unaendelea kuabudu hapo?
 
Watu hawataki porojo wanataka wajionee miujiza ndio mifuko ifunguke ndio maana wengi wanaingia kwenye 18 za manabii wa kidijitali.
 
No sema watu hawawezi msubiri Mungu. wanaonaga kama Mungu anawachelewesha. Kingine wanataka miujuza kwa ajili ya kujionyesha.
 
Me nilisha enda sana kwenye maomb lkn siamin ile stika yenye picha yake anayouza 5000 et utembee nayo au uweke chin ya mto uilalie au uweke kwenye maj uwoge iyo iman sikubalian nayo kabisa na unabii naoutoa pia sikubalian nao
 
Ndio maana watu wengi wanakata tamaa na dini. Sasa wewe na uchafu wote unaoandika hapa forum eti unasali kwa nabii halafu tena amekusaidia? Basi atakuwa ni Lusifa mwenyewe na wewe ni ibilisi

Mkuu akhsante kwa kuliona hili.Mimi binafsi sikuwa na shaka na huyu nabii mpaka pale nilipomsoma GENTA,nikaamini kabisa jinsi anavyoandika hapa JF,na uhusika wa huyo mama nabii katika maisha ya GENTA,napata mashaka sana ya uhalali wa huduma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…