Onyo anamuonya nani?? Na kwa lipi???
Unaingilia maisha ya mtu tena kimuonekano, tena hilo ni kosa sana,
toeni boriti kwenye macho kwanza ndio mje mtafute vibanzi katika macho ya wengine.
Anamwonya nabii wa uongo na hao wanaomfuata kwamba wasipotubu uovu wao watapotea motoni milele. Kama nawe.unamjua mwenye boriti lakini anashughulika na mwenye kibanzi, mwonye.