Ushauri utazingatiwaJisemee wewe mi nionavyo watu wakipata nafasi ya kulala huitumia ipasavyo maana kwanza, usingizi sio ombi ni hitaji la mwili.. utapata shida yakutokupata usingizi ikiwa mwili wako unakasoro fulani.. mi naona changamoto ni majukumu tu ndio yanawafanya watu wasiwe wanalala kwa wakati lakini sio kwamba watu wanapoteza usingizi!, usingizi upo tu kama unapitia changamoto yakutokupata usingizi basi waone wataalumu ndugu.
Una raha.. ccm wanatukosesha usingizi😕Katika vitu sina mchezo navyo ni usingizi, nionyeshe kitanda.... dakika 5 nyingi nshalala
AiseeeAisee,mi nalala sana
Iache simu sitting room then lala
Madeni waachie wanaokudai usiwafikirie
Changamoto za kazi puuzia usizifikirie
Ila kama ni changamoto za ndoa sasa,na adui upo nae hapohapo 🤔
Mi nalala mkuu,saa 3 mpaka 11 alfajiriAiseee