Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,385
- 3,057
- Thread starter
- #21
We acha tu. Tena anamwambia "xxxxx msalimie daddy" mi huwa namfurahia tu issue hapo kwenye kunyonya vidole na kudeka.Aise matapeli n weng sana ety mwanao anakusalimia wakat ni sperms za mtu mwingine ambaye hata nasaba naye huna🤣🤣😄😃. Cha kukushauri muoe huyo mdada harak sana alafu kunyonya vdole huyo mtoto ataacha tu au awekewe pilipili