Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,384
- 3,057
Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k.
Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe.
Kila siku akipiga picha ananiambia "mwanao anakusalimia" anatuma picha yupo na mtoto ananyonya vidole. Mi inanitia tu hasira na mchafuko wa moyo. Mtoto wa kiume miaka mitano 24x7 ananyonya vidole huo si ubwege? Mamaye anaona sawa tu.
Je nifanyeje kumsaidia huyu dada maana naanza kupoteza interest naye sabab hiyo tu. SIPENDI MTOTO ANAYENYONYA VIDOLE. Mkisema sina upendo kwa watoto semeni tu ila huo ndo ukweli wangu. Sipendi mtoto anyonye vidole.