Magambas jipeni moyo...yaonekana kisu kimeanza kugusa mfupa....hakuna cha serikali ya mseto hapa wala kupishana kura,Jiandaeni kisaikoloji Louwasa ndiyo Rais....HUTAKI ACHA.
Suala hapa tunashindanisha wagombea urais ( Magufuli na Lowassa)...Issue ya hao 10 wengine sio relevant kwasasa tunachambua watia nia nanuadilifu waohaa haa kati ya mafisadi 11 waliotajwa pale mwembe yanga 10 wako ccm. za kuambiwa changanya na za kwako....
Mkuu usijidanganye hamasa ipo katika level ya urais tu na hiyo ni kwa sababu ya yeye EL kama yeye na sio nguvu ya UKAWA. Alafu unakiwa ujue PM atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi na sio UKAWA
Kwa hamasa na mvuto alionao EL angeweza toa changamoto hata kama angeenda CHAUMA.Na lengo lake kuu ni kushinda urais basi hata kama atapata PM kutoka CCM
Nakuomba uheshimu maoni yangu hata kama hukubaliani nayo. Mimi sikubaliani na maoni yako na bado nimekuheshimu. Kejeli na mipasho si unazijua zinakotokea?
mkuu nisamehe kama kuna sehemu unaona nimekukejeli kama unavyodai, sio malengo yangu
Hivi Mwizi tangu lini akawa na Mvuto? Jambazi Sugu hana mvuto wowote ni ujinga tu wa Mbowe na tamaa yake ya pesa. Kusema EL ana mvuto ni dhihaka tu na wala sio hoja. Angekuwa na mvuto si mngeenda kunywa nae chai? Kama kura zingekuwa zinapigwa na wanaokula peremende za EL hapa JF basi ni kweli. EL amewashika pabaya hivi mnaombea uchaguzi uahirihwe ili muendelee kufaidi peremende maana mtakuwa mahohehahe.
Bob, bila shaka hujui unacho ongea, katiba inataka WM atoke chama chenye wabunge wengi bungeni, UKAWA si chama kwa hiyo wataangalia Kati ya CCM vs CDM, hata kama UKAWA wakiwa wana wabunge wengi which is not realistic so far, CDM or CUF peke yake haiwezi kuwa na wabunge zaidi ya CCM, so acha kuota ndoto za alina nacha, kwenye huu uchaguzi CDM washinde or washindwe wameuza chama tayari. Tumeletewa wagombea wawili wa CCM kwenye uchaguzi mmoja na kuimbishwa propaganda za mabadilikoNO;Ukawa jumlisha vyote kuteua waziri mkuu maana lazima wanaofanana wawe upande mmoja; ccm unless ivuke 51 kuwa na command majority hata kwa ukawa; wasipovuka na hivyio total ya ukawa ikawa mbele basi wamekwisha waziri atatokana na chama kikubwa nadani ya ukawa na ukawa wote watakuwa sehem ya serrikali ya mseto huku CCM na ACT may be wakiwa wapinzani
Kutokana na mambo yalivyo katika kampeni,kuna haja ya serikali ya mseto,ili kuepusha misuguano itakayo angusha uchumi kabisa,nivizuri mapema vyama vyote vikae viangalie mbele kwa niaba ya wanachi ili vikubaliane kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi,kwa hali inavyoonekana bila wanasiasa kupitia vyama vyao kuangalia mbele zaidi ya uchaguzi,na mapema kujadili la kufanya kwa maslahi ya taifa hili,watashituka wakati mambo yamekwisha haribika na nivigumu kwa wakati huo kusikilizana.kwa maslahi mapana ya nchii tuanze mapema
Nne, hata ukawa wakishinda sio rahisi ccm wakakubali kirahisi zaidi itabidi waingie kwenye maridhiano.
Mmeshaanza kuukubali mziki wa Lowassa eeh?
Hatutaki serikali ya mseto,maoni ya wengi yaheshimiwe.