Magambas jipeni moyo...yaonekana kisu kimeanza kugusa mfupa....hakuna cha serikali ya mseto hapa wala kupishana kura,Jiandaeni kisaikoloji Louwasa ndiyo Rais....HUTAKI ACHA.
Jaribu kuelewa wewe mbulula. Mtoa mada anasema hivi, Lowasa anaweza akashinda lakini Kama chama kimojawapo kati ya CHADEMA , CUF, NCCR na NLD hakitakuwa na wabinge wengi kuzidi CCM, Lowasa atalazimishwa na Katiba kwenda kuteua Waziri Mkuu toka ccm. Sababu ni kwamba, ni lazima waziri mkuu ateuliwe toka chama chenye wabunge wengi katika bunge. Maana yake, akiteua waziri mkuu toka ccm hiyo tayari ni serikali ya mseto bila hiari