Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mkuu hebu acha upuuzi wewe, watu wa kaskazini hawawezi kuishi na wa Kanda nyingine?????. Utakuwa hauishi Tanzania wewe, na unamezeshwa propaganda za CCM bila kuangalia uhalisia wewe. Hebu anza na hili swali, ktk selekali inayo maliza muda wake ccm ilikuwa na wabunge wangapi, madiwani wangapi, na selekali za mitaa kutoka kaskazini???......... Ujione ulivyo mpuuzi utakapo baini kuwa ccm ina kubalika kaskazini kuliko chama chochote.
Mkuu kwa mwana ccm yeyote kwa sasa amechanganyikiwa hivyo msamehe bure