Hapo ndipo utakapoiona "Nguvu ya umma"
Kwa ukawa hii ya wapiga dili wa bilcanas, richmond na ranch za morogoro hatutafika kwenye mseto. Udenda unawatoka ukawa kisa ikulu. Wameshaanza kuthaminisha utajiri wa gesi na mafuta huku wakitafuta huruma wanaccm kuwapigia kura.[/QUOTE]
Mkuu wenye nchi wameishajipanga vizuri wanawacheka tu,mwaka huu haya majizi aliuoiba ccm Leo hii yamegeukia upande wa pili na kumtesa magufuli yataipata tu,hii nchi sio ya wajinga wate,