PLEASE, watu wengi hawaja kuelewa sababu hawajui hata katiba yao, kwa ufupi waziri mkuu lazima atoke kwenye chama chenye wabunge wengi, kwa hesabu nyepesi si CDM au CUF wenye uwezo wa kufikia viti vya CCM peke yake, hiyo inamaanisha hata kama EL akishinda tutakuwa,waziri mkuu atatoka CCM, mawaziri watatoka kutoka pande zote sababu rais ana uhuru wa ku chagua waziri toka chama chochote.
Suala la kuchaguliwa EL kushika bendera ya UKAWA ndio madhara yake haya, top layer ya watendaji( Rais na WM) ni CCM makapi na CCM pure, halafu tunaendelea kuimbishwa propaganda za mabadiliko, inahuzunisha sana, uchaguzi huu CCM wame tu boko haram kwa kutuingizia wagombea wawili huku UKAWA wakiendelea kuimba nyimbo za matumaini ya uongo ya mabadiliko
Serikali ya Mseto itakuwepo maana Itaundwa na UKAWA... CCM watakuwa wapinzani, wataunda kambi ya Upinzani pamoja na ACT, TLP
PLEASE, watu wengi hawaja kuelewa sababu hawajui hata katiba yao, kwa ufupi waziri mkuu lazima atoke kwenye chama chenye wabunge wengi, kwa hesabu nyepesi si CDM au CUF wenye uwezo wa kufikia viti vya CCM peke yake, hiyo inamaanisha hata kama EL akishinda tutakuwa,waziri mkuu atatoka CCM, mawaziri watatoka kutoka pande zote sababu rais ana uhuru wa ku chagua waziri toka chama chochote.
Suala la kuchaguliwa EL kushika bendera ya UKAWA ndio madhara yake haya, top layer ya watendaji( Rais na WM) ni CCM makapi na CCM pure, halafu tunaendelea kuimbishwa propaganda za mabadiliko, inahuzunisha sana, uchaguzi huu CCM wame tu boko haram kwa kutuingizia wagombea wawili huku UKAWA wakiendelea kuimba nyimbo za matumaini ya uongo ya mabadiliko
Mimi naona unachosema ni kama unachotaka kiwe baada ya upande wako kuelemewa. Mimi binafsi nina uhakika hakuna serikali ya mseto kwa sababu wabunge wengi ni wa UKAWA kulingana na hamasa ya kuindoa CCM madarakani.
Hivi Mwizi tangu lini akawa na Mvuto? Jambazi Sugu hana mvuto wowote ni ujinga tu wa Mbowe na tamaa yake ya pesa. Kusema EL ana mvuto ni dhihaka tu na wala sio hoja. Angekuwa na mvuto si mngeenda kunywa nae chai? Kama kura zingekuwa zinapigwa na wanaokula peremende za EL hapa JF basi ni kweli. EL amewashika pabaya hivi mnaombea uchaguzi uahirihwe ili muendelee kufaidi peremende maana mtakuwa mahohehahe.

sijui nyinyi ukawa akili yenu ikoje! mnafikiri watanzania watachagua mtu kwa sura yake au kwa kupendeza, au kwa kutabiriwa na walokole gwajima et al. gwajima et al kwanza si lolote ila wapigaji wakubwa. hapa hakuna mseto ukawa wanapigwa chini flat. ukawa haina moral authority ila wsnatumia mizungu na mazingaumbwe. bahati nzuri ccm wameiva kila idara.Ni ukwelo ulio wazi, Mh Edward Lowassa anaweza kushinda uchaguzi wa october 25 sio kwa sababu kahamia UKAWA ila ni kwa sababu ya nguvu ya mvuto aliyo nayo yeye binafsi
Ni ukweli ulio wazi kuwa ushindi mkubwa wa chama chochote ndani ya UKAWA ni kati ya majimbo 40 hadi 60. Hivyo basi Lowassa atalazimika kurudi nyumbani kuteua PM
Kwa kuwa UKAWA na CCM watakuwa katika serikali moja, namuona Zitto akiwa mpinzani halisi hata kama atashinda peke yake ACT
Tutarudi kujuzana baada ya october...matusi kwenye huu uzi ruksa
Kujamba wewe, Kuharisha wewe, kunya wewe, kutapika wewe. Ni kipindupindu au nini?
Hili fisafi linatisha kweli kweli kwetu makambako ni ccm lakin limebaduli upepo haijawah tokea hili limamvi inabidi nilipigie kura tu dah fisadi hili ni tabu kweli kweli
Zitto, slaa na lipumbav hawawezi kukaa pamoja bila shida... Too much egoLowassa kushinda, hilo halina ubishi. Zitto ataungana na Slaa na Lipumba kwenye chama cha ACT. Wasiwasi wangu hiyo combination sijui itazaa nini? maana wote ni watata.
Khekhekhekheeeheee... Kula malimaoHivi Mwizi tangu lini akawa na Mvuto? Jambazi Sugu hana mvuto wowote ni ujinga tu wa Mbowe na tamaa yake ya pesa. Kusema EL ana mvuto ni dhihaka tu na wala sio hoja. Angekuwa na mvuto si mngeenda kunywa nae chai? Kama kura zingekuwa zinapigwa na wanaokula peremende za EL hapa JF basi ni kweli. EL amewashika pabaya hivi mnaombea uchaguzi uahirihwe ili muendelee kufaidi peremende maana mtakuwa mahohehahe.
Mnajipa moyo nyie mafisadi..mshaona kichapo kipo mlangoni sasa mnakimbilia mseto..hakuna cha mseto hapa
sijui nyinyi ukawa akili yenu ikoje! mnafikiri watanzania watachagua mtu kwa sura yake au kwa kupendeza, au kwa kutabiriwa na walokole gwajima et al. gwajima et al kwanza si lolote ila wapigaji wakubwa. hapa hakuna mseto ukawa wanapigwa chini flat. ukawa haina moral authority ila wsnatumia mizungu na mazingaumbwe. bahati nzuri ccm wameiva kila idara.
uko sawa mkuu lakini kabla ya kuwepo selikari ya mseto kutakuwa na machafuko kwa takribani mikoa saba,ukianza na dar!