LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,515
- 3,928
Alijibu fata maanake nini? Mungu wa mbinguni hapangiwi muda wa kujibu maombi yako ila yeye anajibu kwa wakati anaona unafaa kutokana na sababu zake mwenyewe anazozijua ambazo mara nyingi huwa nje ya uwezo wa binadamu.Yuko sahihi!
Mungu wa Eliya alijibu faster, huyo ndiye Mungu