Naam,naam,naam,Nimekuja wajameni!

kularaha

Member
Oct 25, 2012
5
0
Nimekuwa nikipitia kitambo na sasa ninasema hodi hodi wajameni.
Nimeamua kuwa nanyi na mniunge mkono na pale ninapokwama muwe nami jamani!
 
Umekuja na bei gani? sio facebook hapa. Pouwa karibu sana ila usisahau kuheshimu kijiwe
 
Dogo! Karibu sana humu jamvini!
Ila sharia ya humu jamvini umezipitia?
Mambo ya Twitter na Facebook humu hatuhitaji wala kuyasikia!

Poa mkubwa jukwaa lazima liheshmike


Masharti na vigezo yanazingatiwa humu tafadhali!
 
Back
Top Bottom