mtu chake mambo mengine hayahitaji hata darubini kuyagunduahilo la kucomment katika wall hata mie nakukubalia. Mr Rocky...na picha unabidi ucomment..sasa watu kama sisi vimeo kila kona utata mtupu
Ndo maana unakuwa mtu wa kukaa kimya hakuna kuuliza wala nini
Maana ukimchunguza sana bata ..............................
haya mawasiliano haya ni balaa mkuu ni bora kuacha kama yalivyo