Naachika kila siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naachika kila siku

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Jun 12, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
  Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
  Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
  Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
   
 2. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Go ahead.
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Umerudi
  Ngoja niangalie upepo kwanza maana wewe ni balaa
  Hujatulia wewe mwenyewe ndo maana
  hebu jipime kwanza wewe
   
 4. G

  Gongolo Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana utakuwa na nguvu za giza zinakufuatilia ili usiwe na mahusiano yoyote na wanaume. Jitahidi kushughulikia tatizo hili. Kama ni mkristo nenda kanisani kwa ajili ya ushauri na maombi.
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Smile embu jichunguze mwenyewe kwanza hakuna aliye mkamilifu utaacha wangap?hapo kwenye kutibua inategemea alikutibua nini inawezekana wewe ndio ulikuwa chanzo cha mtibuano ushauri wangu rudi chini jitathmini mwenyewe kabla ya kuanzisha uhusiano wowote Uvumilivu nao una nafasi yake kwenye mapenzi.
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  aiyaaaa switie nimekumisije kaka...wewe funguka tu kaka unanijua mimi sina shida...mimi msikivu
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wee awa jamaa wana maudhi best mtu unampigia simu hapokei ? khaaa
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ngoja nimtafute kakobe
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hakika waswahili walinena; Nyani haoni kundule; juzi tu hapa jamvini palianzishwa mada jinsi gani akina mama wasivyopokea simu na akija kupokea full visingizio, leo wewe simu haijapokelewa tu ushaanza kuweka question makr na kutaka kuvunja uhusiano, je sisi akina baba tutavunja mahusiano mangapi kama hicho kikiwa kigezo? (yaani mtu asipopokea simu tu, piga chini)? kweli mkuki kwa nguruwe
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwani wanaume wana pochi elly?
   
 12. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Smile Kama sikosei wewe ni bikra!
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni watu wachache sana tuna upako wa aina hii......nilikuwa natafuta mwenzangu mwenye karama kama yangu.....kumbe ni wewe Smile......aaahh....halelluyahhhh.....
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Smile jipime kwanza wewe
  Ni nini mapungufu yako kabla ya kumlaumu mwenzako
  Watu wanakaa kwenye relationship hata miaka mitano na wako safi tuu
  Wanayajua mapungufu ya kila mmoja wao na wanayatengeneza
  Unatakiw aujiangalie na wewe umekosea wapi na huwa unakosea wapi kabla ya kumnyooshe akidole mwenzako
  Ukishajijua hapo sasa kaa na mwenzako myajadili hayo na kuyatafutia majibu
  Hakuna mtu ambaye atakuwa malaika bana yaani kila kitu yuko perfect
   
 15. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  sikushangai wewe wala sikucheki..mimi huwaga i can tell only at the first meeting..wazushi , pasua kichwa , wachunaji wanafahamika mapema tuu...
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  NGOJA KAKA....
  mtu assume hapokei simu usiku...
  wala hakupigii usiku.....
  sms hajibu.....eti nilikuwa nimelala..au nacheki mechi
  kuna mtu analalaa saa 12? tupilia mbali huko
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Miss indepent......Smile@
  Know it all....atanieleza nini yule
  Rule the world....ana kazi yake na mi nina yangu
  Men are dogs......wanaume ni malaya hata umpe nini
  Mwanaume sio wa kuchekea......if he plays arround, I just suck him out...

  Kama haya ndo mafikira yako......uzee utakukuta na malalamiko haya haya
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umeona eeeh wapenda uchi tu ...wakafie mbali huko....hawatakiwi kupewa hata sekunde moyoni mwako
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  oooh kaka hata sipo ivo nakuapia basi bahati mbayanameeti wapenda uchi...
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  amen mama mtumishi tuombeane
   
Loading...