NGOJA KAKA....
mtu assume hapokei simu usiku...
wala hakupigii usiku.....
sms hajibu.....eti nilikuwa nimelala..au nacheki mechi
kuna mtu analalaa saa 12? tupilia mbali huko
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
aisee kweli ?smile hebu rudi kwenye mstari
hivi hili ndo linakufanya umuone mtu kuwa hafai
kutopokea simu au kutokukupigia simu
au kutojibu sms
sidhani
angalia tena nini maana ya real love
yaani simu au sms kwangu ni kitu kidogo sana kama kuna ule upendo haswa wa kutoka rohoni mwake na anafanya yale yote yampasayo mtu amfanyie mpenzi wake
jiulize kabla ya simu kulikuw ana njia gani ya mawasiliano
usitumie simu kama kigezo cha kusema kuwa mtu hafai bana
kuna watu wakifika majumbani mwao kutokana na shughuli za mchana kutwa hataki hata kuiona simu tena
mmmh wewe wasema...vile sio wewenionavyo ni kwamba wewe unaacha, huachwi!
Ukimuacha mwanaume na yeye asifanye effort tena za kutosha na kwa muda kuhakikisha anakurudisha kundini, jua fika kuwa uamuzi wako wa kuacha ulikuwa wa busara.
Kila mtu ana wake, hivyo ukija pata wako hutaacha wala kuachwa, kifupi hamtaachana hata msipopigiana simu mwaka!
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
Hilo nalo neno. Umeshahisi kuwa haya mahusiano hayana hatima nzuri, na bado unabaki karne ukijua kuwa mwisho ni kuachana ...what for?Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?