Naachika kila siku

Kila mtu ana mapungufu yake sasa ukitaka utafute ambaye hana mapungufu utaachana na wanaume wote duniani na wala usipate cha msingi ni kuelewa mapungufu ya mwenzako alf unavumilia.
 
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
mademu wa kibongo du!! unamtongoza siku hiyo hiyo unapiga kipara....na haijalishi mmesoma au wapiii!!wooote mnafanana siku hizi....alafu huu mchezo wenu mlioanzisha mjini...unamtia demu mbele alafu baada ya muda anakugeuzia nyuma...ati na huku!! yaani nyie mademu wa bongo ni feki sana.....wengi wenu maji maarage ya mbeya....maji mara moja...na hamna cha msomi wala nini...wengi wenu mko hivyo....inategemea mwanamme kaingia na gia gani.....tena nyie mlio materialistic ndio kabisaa!!mko very very desperate mnapooneshwa haswa materials e.g pesa.....mnatoa mpaka ****..
 
.......ni kawaida mpenzi, .....when the time is right, utapenda ki Upendo (-ki roho.)
Utaacha kupenda kimapenzi.(kiakili)
Sawa mrembo Smile? ;)
 
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?

Ukiona watu wamekaa miaka 6, 7, 8 .... bado wanaitana wachumba jua hapo ni kudanganyana tu. Hawako serious na mahusiano yao. Logic ni ndogo tu kama ninaweza kukamua/kupata maziwa bila ya kufuga ng'ombe kuna haja gani ya kuhangaika na kero za ufugaji wa ng'ombe? Vivyo hivyo kama mtu mme au mtu mke anaweza kupata huduma zote anazohitaji mume/mke ndani ya ndoa bila ya kufungwa pingu za maisha kuna haja gani ya kufunga ndoa?

Ila hii ya kwako ya kutongozana leo halafu kesho unasepa kisa mtani wa jadi hajapokea simu yako nayo ni extreme nyingine na inaonesha kuwa hauko serious na mahusiano. Kuna wazushi ambao ni mabingwa wa kuficha tabia zao halisi - kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa "Impression Managers" - ambao katu huwezi kujua tabia zao halisi kwa muda mfupi. Inabidi uwe na uzoefu kwenye mahusiano ili uweze kujua kuwa wameficha tabia zao halisi.

Mimi binafsi siamini katika uchumba usio na kikomo. Muda wa mwaka mmoja mpaka miwili unatosha kabisa kufanya maamuzi. Zaidi ya hapo huwa ni uzinzi tu unaoendelea na mimi huwa ninatia "question mark". Kama ni binti huwa namshauri ajiandae kisaikolojia kutapeliwa maana kwa uzoefu wangu wanawake, hasa ambao wamesha zaa watoto kwenye mahusiano, huwa wanaathirika zaidi kisaikolojia kufuatia kuvunjika kwa mahusiano kuliko wanaume zao.
 
Let I try to date you first then i may comment?

Kwa kidhungu changu cha chini ya mwembe nadhani hapo kwenye bold ulimaanisha "me" kwa bahati mbaya mkono ukaandika "I". Mimi nimekuelewa vizuri tu tofauti na Kimey ambaye ameshindwa kuelewa ulichoandika.
 
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?

.... Smile, .....come and I will show you what love is....najua hutonogewa lakini angalau utajua kwanini sie hujitoa fahamu muda wote huo...:p
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtindo huo utakuwa na orodha ndefu ya wapenzi wa wapenzi wako
 
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa.. Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi.. Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana? Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
Ebwanee Smile kwa mtindo unaweza ukawa si wife material kwa kweli njoo nikupe guide & counseling
 
Last edited by a moderator:
.... Smile, .....come and I will show you what love is....najua hutonogewa lakini angalau utajua kwanini sie hujitoa fahamu muda wote huo...:p
Mpwa pole na majukumu, mi baada ya kumega kuna binti ananisumbua anataka home theater na friji la Samsung nimedondosha calculator inaghalimu 2.5m hesabu za chap chap nimeona kwa bei hiyo napata uwanja huko Tua Ngoma, ushauri mkuu tafadhari
 
Last edited by a moderator:
Mpwa pole na majukumu, mi baada ya kumega kuna binti ananisumbua anataka home theater na friji la Samsung nimedondosha calculator inaghalimu 2.5m hesabu za chap chap nimeona kwa bei hiyo napata uwanja huko Tua Ngoma, ushauri mkuu tafadhari

....hahaha, panda mti kata mti...utamu wa peremende mate yako.
Si ushamega? ....gharama ya nini tena? Wekeza Tua ngoma
 
Back
Top Bottom