Naachika kila siku

Naachika kila siku

Nimechekaje Mbu, inanibidi nikubaliane fika na MwanajamiiOne kwamba you are so tempting (to her)!

....pheww ....thx mydear, yaani umenitoa raha hapa, nikawa nawazia apology yangu inaweza kubalika tena kwako... Thx dear kwa kunisikiza ombi langu la msamaha kwako xox
 
NGOJA KAKA....
mtu assume hapokei simu usiku...
wala hakupigii usiku.....
sms hajibu.....eti nilikuwa nimelala..au nacheki mechi
kuna mtu analalaa saa 12? tupilia mbali huko


sasa dada smile mkishaona ndo akaanza mbwembwe hzo napo utamwacha? mapenz ni kuvumuliana vinginevyo utaacha wengi sana na badae utasema huna bahati,kumbe bahati unayo ila unaikalia
 
Mbu nakuja mkubwa nipo busy kidogo...nipo nje ya mji..
 
Last edited by a moderator:
....hahaha, panda mti kata mti...utamu wa peremende mate yako. Si ushamega? ....gharama ya nini tena? Wekeza Tua ngoma
hapa ngoja nichape lapa naweza jikuta nawekeza kwenye ngono bure, ngoja nirudi katika philosophy yangu ya hit and run
 
Nionavyo ni kwamba wewe unaacha, huachwi!

Ukimuacha mwanaume na yeye asifanye effort tena za kutosha na kwa muda kuhakikisha anakurudisha kundini, jua fika kuwa uamuzi wako wa kuacha ulikuwa wa busara.

Kila mtu ana wake, hivyo ukija pata wako hutaacha wala kuachwa, kifupi hamtaachana hata msipopigiana simu mwaka!

exactly
 
.......ni kawaida mpenzi, .....when the time is right, utapenda ki Upendo (-ki roho.)
Utaacha kupenda kimapenzi.(kiakili)
Sawa mrembo Smile? 😉

.... Smile, .....come and I will show you what love is....najua hutonogewa lakini angalau utajua kwanini sie hujitoa fahamu muda wote huo...😛
Smile bado tu hujaelewa somo mamii?! Hebu Msome Mbu kwa herufi kubwa hapa
 
Last edited by a moderator:
Smile bana huwa nikikukosa sina raha especially kama sijaona thread yako......................

Utampata unayempenda dear usijali
 
Mzima kabisa mbona unazima sana simu???

Juba tuko poa kabisa ila joto tu ndo jingi sana

Salimia Mama wa First................
hahaha mimi tena nizime cm? Aisee Salimia Juba huko!
Lini sasa waja?
 
Freema Agyeman nilikuwa nakusoma mpenz uwepo wako ndio ulonifanya nikayapoza maji ama sivyo Mbu na Smile muda huu wangekuwa wanauguza majeraha hahahah

Hapa Smile katu asingevumilia, angeachika fasta.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
SMILE , Sikiliiiiiza rafiki kuwa kama mimi kabla ya yote unatakiwa ujue mchumba mtarajiwa anatabia zipi? Kati yazileeee alizo semaga EIYER nadhani ziko kumi na kidogo hivi sasa unatakiwa ujumlishe na za kwako then cheki jibu kama lina oana au lina talakiana. KARIBU TENAAAA
 
Back
Top Bottom