Na mimi ni banker yamenikuta

Na mimi ni banker yamenikuta

tatizo ni nini muugwana? Kwani binadamu wote ni sawa? Mfano bw. Mengi anaweza kuhonga kiwanda (bonite) lakini si kuhonga ipp yote, vivyo hivyo wewe unaweza kuhonga passo lakini si kiwanda. Huyu jamaa naye anaweza kuhonga sh.10,000 lakini si 250,000. Kila mtu na level yake. Hata angelalamika kuombwa 10,000 kama ndio level yake mimi naona ni sawa tu.
Huu utofauti wa kipato ndio unaifanya dunia isonge (balance). Hatuwezi wote kuwa matajiri. Never, ever. Ni vema ukaheshimu maono ya kila mmoja hapa.

tehteh..utawaweza ma''keyboard warriors''...............
 
Tatizo ni nini muugwana? Kwani binadamu wote ni sawa? Mfano Bw. Mengi anaweza kuhonga kiwanda (Bonite) lakini si kuhonga IPP yote, vivyo hivyo wewe unaweza kuhonga Passo lakini si kiwanda. Huyu jamaa naye anaweza kuhonga sh.10,000 lakini si 250,000. Kila mtu na level yake. Hata angelalamika kuombwa 10,000 kama ndio level yake mimi naona ni sawa tu.
Huu utofauti wa kipato ndio unaifanya dunia isonge (balance). Hatuwezi wote kuwa matajiri. Never, ever. Ni vema ukaheshimu maono ya kila mmoja hapa.

huyo jamaa kiazi! kweli, mi mwenyewe nimemshangaa!' anajitapa tu hapa na kingereza chake cha english course ...........
 
Mbona papuchi huwa mnawahi kuomba hata ukiwa kwenye masaa tu ya relationship...

Ukome nyie wafanyakazi wa benk huwa mnajionaga mnazo sana.

Hahaha hakomi mtu hapa. Tunavyokua smart si ndio mnatushobokea kumbe hamjui ile ni dress code tu ya kazi.
Hata wewe ukikaa vibaya tunakuhondomola.
 
Toa mrejesho ulivyojikusuru na hiyo 250,000
Ile 250 nimeipiga chini kiaina, alikuja nikakaa nae kumueleza hali halisi. Kaelewa vizuri tu, ila akanipiga tena kizinga kingine. Daah, Nikamtoa.Kasafiri kaenda Shinyanga akirudi nitamfuturu kwanza kabla mambo mengine hayajaendelea maana kama kufunga nishafunga vya kutosha. Nahitaji kufuturu
 
Si uachane nae tu kwani unalazimishwa... au na ww ujui kukataa kama ndio hivyo bac wewe ni mme ----- vijana inatakiwa tutimize ndoto zetu kwanza.... hawa wapo tu kaka .. ni hayo tu
 
Pia jichunguze ikiwa hauishi masiha ya show, pili mueleze ukweli wa maisha na mipango yako, tatu ongeeni kuhusu matumizi ya vipato vyenu
 
Yap,hapo kweli huyo ni halali yako mura,anza kufanya mazoezi ya push up na jogging uongeze Pumzi,akirudi toka Shy ujilie vyako.
 
The early the better; Kitu ambacho nilikuwa nikitumia kuwadisqualify madadaz, ni mizinga...,
 
Huyu Eliphaz the termanite anajifanya Milionea! Yeye anadhani watu wote wako sawa kipato!??? Kama yeye anaweza kuhonga kipaso basi na akahonge hammer!!
 
Back
Top Bottom