Na mimi ni banker yamenikuta

Na mimi ni banker yamenikuta

Wadada wa siku hizi ni shida ndio maana wamekuwa single maza wengi sana mana si kwa vibomi hivi, kijana pole sana uyo duu msome ukiona mvua ya vibomu imezidi achia siti iyoo na wengine wapande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF,

Waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa tia maji nywele zako. Kuna mdau mmoja (banker) aliwahi leta topic kuhusu masikitiko yake jinsi alivyotendwa na bint wa IFM pale Kilimanjaro Hotel.

Wadau nami yamenikuta, nami pia ni banker tena junior officer tu hapa jijini Mwanza. Hii ni ajira yangu ya kwanza na ni miezi michache tu imepita tangu nipate hiki kibarua. Here is my story.

Mimi ni mtulivu na nisiye na makuu na ni mwezi mmoja sasa tangu nifahamiane na bint mmoja mwenye asili ya bara la Asia. Amenivutia naye anaonekana kuvutiwa nami.

Kwa kuwa nimetengana na aliyekuwa mwandani wangu mwezi May nikaona sasa ni muda muafaka wa kupata mbadala wake. Tofauti na yule mdau mwingine ambaye alikua anachepuka, mimi nilikua single mpaka nilipokutana na huyo binti.

Jumamosi iliyopita yani tarehe 1 August, nilimuita Mayi Hotel nikamwaga sera zangu. Kiukweli nimempenda. Ni mpole, na ana aibu na bashasha fulani hivi ya kike. Akaniambia nisiwe na wasi wasi kama Mungu amepanga tuwe pamoja basi itakuwa.

Leo tarehe 7, nikiwa kwenye morning meeting pale job nikapokea msg ya salam mapema isivyo kawaida. Mazungumzo yakafikia baby nina shida ya pesa.Nikauliza kiasi gani, to my surprise "laki 2 na nusu". Haki ya Mungu nilihis mikono yanitetemeka na smu nikaidondosha kwenye kiti.

Hata branch manager alihisi kitu uso wangu ulivyobadlka ghafla maana tulikaa opposite na nilikua nasoma kinyemela. Nikahs labda kakosea huyu.

Anyway, 250k sometimes can not be a big deal, but within 7 days of relationship na maisha yetu yenyewe haya? Vijana wenzangu hapa mmh, hii kali.

Sikujibu mpaka kikao kilipoisha nikajitetea nilikua kikaoni. Hata hivyo niliruka hicho kibom. Nikaulizwa sasa ntatoa ngapi, to be honest niliruka tena mara ya pili. Akajifanya kunielewa.

Mpaka sasa najiuliza, hivi hawa wadada wanadhani sisi bankers tunalipwa mamilioni kama ya Escrow? Anyway, hivi ndani ya wiki moja unanipiga mzinga mkubwa hivyo? Aah kuweni fair bwana, msione bankers wana vigari, ni vya mkopo hivyo.

Nikitazama geto langu halijapendeza kiasi nipendavyo, namna hii si tunarudishana nyuma. Nitaanzisha biashara zangu kweli, ntafikia plan zangu za kutokua mwajiriwa miaka kadhaa ijayo?

Cha ajabu huyu Muasia wangu anauza duka ambalo anadai wanamiliki yeye na dada yake. Kiasi fulani ni miss independent, lakin kwanini vibom hivi. Au ndio kujaribiwa huku?

Mpaka usiku huu hatujawasiliana, tulikua na appointment kuonana jioni ya leo imefail nilibanwa na majukum lakini hata hivyo simu yangu pendwa ilipata majanga siku nzima.

Worse enough namba yangu nyingine hana nami namba zake sijakariri. Nimekuta msg zake kadhaa za hasira akijua labda ndio nimepotea mazima tangu niruke vibom vyake. Akiamka asubuhi sijui itakuaje?

Mmmh! Naomba asubuhi ifike haraka nijue mwisho wa sinema yetu. Ila kama tutawasiliana vizuri asubuhi nimepanga nimuite nimweleze hali halisi ya life langu na mambo yangu kiujumla, lazima tudefine life-mbivu na mbichi.

Nijue moja kama amekuja kwangu kuchuma bora ajitoe kabisa nami nikae chonjo. Na kama kweli ananipenda she has to agree with reality. Siwezi kuishi maisha ya kuigiza kisa mwanamke, huo ndio msimamo wangu.

Sijui kapata wapi akili za kujaribiana wakati mimi sijawahi kufanya show offs za aina yoyote kwake.
Pole ndugu,kumbe tuko wengi japo mm sijawai kuombwa hiyo hela lakini ,mm pia mwenzangu Ana kibarua chake lakini ananitegemea sna utadhani Ni mama was nyumbani asiye na shughuli yoyote ya kumpa kipato,mambo madogomadogo ambayo angeweza kuya solve nayo anayaleta kwangu. Kuna wakati akiomba simpi ama Nampa nje ya mda aliohitaji, hapa nimeombwa ya matumiz nimemtolea nje maana Ni juzi tu Ni wiki moja tu nimetoka kumpa . Ila in general nilichojifunza kwenye mapenzi mwanaume ukimpenda Sana mpenzi wako Basi upo kwenye hatar kubwa Sana ya kuharibu mipango mizuri ya uchumi wako Kama si kuichelewesha ,maana utakuwa dhaifu sna kusimamia malengo yako kwa sababu wengi wao huleta mambo ya kijinga yasiyo na umuhimu mkubwa kwenye maisha. Kosa lingine ukimwonyesha show off mapema ambayo haibebi uhalisia was maisha yako unajikaanga mwenyewe mbeleni. Juzi aliniambia nimnunulie kazibao elf 30 ,sjui wenyewe wanakaitaje maana alinio nyesha tu kwa mbali nikamuuliza kanauzwaje? Amasema elf 30, na lotion ya elf 16 wakati huo sijamaliza Kodi ya chumba.nikampa live siwezi kukununulia kanguo Kama kale kwa iyo hela .

Ndio shida ya wanawake mkuu wa sasa, ila nadhan ungetaka kumjua vizur hata usingempa kitu. Ungesingizia mambo mengi yamekusibu huna hela ili pia ujue uvumilivu wake. But kwa kibom hicho ndani ya siku chache hapo hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu, usilegeze simama ktk msimamo wako
 
Pole ndugu,kumbe tuko wengi japo mm sijawai kuombwa hiyo hela lakini ,mm pia mwenzangu Ana kibarua chake lakini ananitegemea sna utadhani Ni mama was nyumbani asiye na shughuli yoyote ya kumpa kipato,mambo madogomadogo ambayo angeweza kuya solve nayo anayaleta kwangu. Kuna wakati akiomba simpi ama Nampa nje ya mda aliohitaji, hapa nimeombwa ya matumiz nimemtolea nje maana Ni juzi tu Ni wiki moja tu nimetoka kumpa . Ila in general nilichojifunza kwenye mapenzi mwanaume ukimpenda Sana mpenzi wako Basi upo kwenye hatar kubwa Sana ya kuharibu mipango mizuri ya uchumi wako Kama si kuichelewesha ,maana utakuwa dhaifu sna kusimamia malengo yako kwa sababu wengi wao huleta mambo ya kijinga yasiyo na umuhimu mkubwa kwenye maisha. Kosa lingine ukimwonyesha show off mapema ambayo haibebi uhalisia was maisha yako unajikaanga mwenyewe mbeleni. Juzi aliniambia nimnunulie kazibao elf 30 ,sjui wenyewe wanakaitaje maana alinio nyesha tu kwa mbali nikamuuliza kanauzwaje? Amasema elf 30, na lotion ya elf 16 wakati huo sijamaliza Kodi ya chumba.nikampa live siwezi kukununulia kanguo Kama kale kwa iyo hela .

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuu
 
nishakutana na watu wengi wa style hii
wengi hua nakata mawasiliano nao mazima

ila nilichogundua ni fashion ya wadada siku hizi ..ukimtongoza na kama hakutaki bas atakupiga mzinga ili utimke mwenyewe mazima so aepukane na usumbufu
 
Back
Top Bottom