Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Kuombwa pesa ooh mapema oooh just 7 days of a relationship, mbona papuchi ukipewa huoni kama ni mapema wajipakulia tu jamani....pole lakini
Yako unauza kiasi gani?
Kuombwa pesa ooh mapema oooh just 7 days of a relationship, mbona papuchi ukipewa huoni kama ni mapema wajipakulia tu jamani....pole lakini
Pole sana, hapo huna chako labda utoboke tu.Bado kaka, wiki moja tu ndio tumeanza uhusiano
..........akili ni nywele........
Kuombwa pesa ooh mapema oooh just 7 days of a relationship, mbona papuchi ukipewa huoni kama ni mapema wajipakulia tu jamani....pole lakini
Yako unauza kiasi gani?
Haiwezekani akakosa nywele kila mahali katika mwili wake....kama sio kichwani basi zitapatikana sehemu zingine za mwili wake......Mhhh! Mtoa mada ana "KIPARA" so usimshangae tu msaidie!
bila shaka upo access 🙂Habari wana JF,
Waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa tia maji nywele zako. Kuna mdau mmoja (banker) aliwahi leta topic kuhusu masikitiko yake jinsi alivyotendwa na bint wa IFM pale Kilimanjaro Hotel.
Wadau nami yamenikuta, nami pia ni banker tena junior officer tu hapa jijini Mwanza. Hii ni ajira yangu ya kwanza na ni miezi michache tu imepita tangu nipate hiki kibarua. Here is my story.
Mimi ni mtulivu na nisiye na makuu na ni mwezi mmoja sasa tangu nifahamiane na bint mmoja mwenye asili ya bara la Asia. Amenivutia naye anaonekana kuvutiwa nami.
Kwa kuwa nimetengana na aliyekuwa mwandani wangu mwezi May nikaona sasa ni muda muafaka wa kupata mbadala wake. Tofauti na yule mdau mwingine ambaye alikua anachepuka, mimi nilikua single mpaka nilipokutana na huyo binti.
Jumamosi iliyopita yani tarehe 1 August, nilimuita Mayi Hotel nikamwaga sera zangu. Kiukweli nimempenda. Ni mpole, na ana aibu na bashasha fulani hivi ya kike. Akaniambia nisiwe na wasi wasi kama Mungu amepanga tuwe pamoja basi itakuwa.
Leo tarehe 7, nikiwa kwenye morning meeting pale job nikapokea msg ya salam mapema isivyo kawaida. Mazungumzo yakafikia baby nina shida ya pesa.Nikauliza kiasi gani, to my surprise "laki 2 na nusu". Haki ya Mungu nilihis mikono yanitetemeka na smu nikaidondosha kwenye kiti.
Hata branch manager alihisi kitu uso wangu ulivyobadlka ghafla maana tulikaa opposite na nilikua nasoma kinyemela. Nikahs labda kakosea huyu.
Anyway, 250k sometimes can not be a big deal, but within 7 days of relationship na maisha yetu yenyewe haya? Vijana wenzangu hapa mmh, hii kali.
Sikujibu mpaka kikao kilipoisha nikajitetea nilikua kikaoni. Hata hivyo niliruka hicho kibom. Nikaulizwa sasa ntatoa ngapi, to be honest niliruka tena mara ya pili. Akajifanya kunielewa.
Mpaka sasa najiuliza, hivi hawa wadada wanadhani sisi bankers tunalipwa mamilioni kama ya Escrow? Anyway, hivi ndani ya wiki moja unanipiga mzinga mkubwa hivyo? Aah kuweni fair bwana, msione bankers wana vigari, ni vya mkopo hivyo.
Nikitazama geto langu halijapendeza kiasi nipendavyo, namna hii si tunarudishana nyuma. Nitaanzisha biashara zangu kweli, ntafikia plan zangu za kutokua mwajiriwa miaka kadhaa ijayo?
Cha ajabu huyu Muasia wangu anauza duka ambalo anadai wanamiliki yeye na dada yake. Kiasi fulani ni miss independent, lakin kwanini vibom hivi. Au ndio kujaribiwa huku?
Mpaka usiku huu hatujawasiliana, tulikua na appointment kuonana jioni ya leo imefail nilibanwa na majukum lakini hata hivyo simu yangu pendwa ilipata majanga siku nzima.
Worse enough namba yangu nyingine hana nami namba zake sijakariri. Nimekuta msg zake kadhaa za hasira akijua labda ndio nimepotea mazima tangu niruke vibom vyake. Akiamka asubuhi sijui itakuaje?
Mmmh! Naomba asubuhi ifike haraka nijue mwisho wa sinema yetu. Ila kama tutawasiliana vizuri asubuhi nimepanga nimuite nimweleze hali halisi ya life langu na mambo yangu kiujumla, lazima tudefine life-mbivu na mbichi.
Nijue moja kama amekuja kwangu kuchuma bora ajitoe kabisa nami nikae chonjo. Na kama kweli ananipenda she has to agree with reality. Siwezi kuishi maisha ya kuigiza kisa mwanamke, huo ndio msimamo wangu.
Sijui kapata wapi akili za kujaribiana wakati mimi sijawahi kufanya show offs za aina yoyote kwake.
7 days In relationship aaahhhaaaa kiboko duuuh tunajidharaulisha sometimes loooh . Acha tusiolewe tuu . Pole sana. Thanks..
Basi weka pakee zako kwa wallet toboa mgomba....hautakua na kesi na mtupapa na pesa ni vitu viwili tofauti kabisa,,na akitoa papa ni wanapeana na wanafaid wote ila pakee ni upande m1 tuu haha
Tukionana utaona make nimeeka price tag kabisa.....Yako unauza kiasi gani?
Hao madada wana viwanja na maduka kwa kuuza K tu. Hapo alishaonwa sana dukani kwake hapo na wajanja, tena wanao nunua juml bila hata kulia lia
Tulia uone, akipiga hiyo 250 K. Carton 5 za viberiti dukani. Akili kichwani hapa mjini.
Hata hizo sms za hasira c kwamba anakupenda, bali anataka usichomoke kihasara hasara!! Ha ha ha
Hata mi nna technique pia sifanyi kama huyo, nakutengenezea mazingira ya kutoa bila kuombwaEvelyn Salt
Wewe binafsi waweza fanya kama hivyo? Mimi papuchi kwenye uhusiano mpya siombi, atatoa mwenyewe. Nitamtengenezea mazingira ya kunipa bila kuomba. I have the techniques.
Hata mi nna technique pia sifanyi kama huyo, nakutengenezea mazingira ya kutoa bila kuombwa