Jomoni thank u dear[emoji3531][emoji120]Hahaaa chezea tu mamaa you deserve it lol
Mimi nimekumiss zaidi siwezi kuelezea
Nilitaka nikutongoze kabla hujapotea nawaza nikutongoze au niache TuWe acha tu nimeogelea dudu mpaka nikatoroka nikarudi humu[emoji86][emoji86]( joke)
Nimekumiss sana hearly [emoji3531][emoji3531]
Haaahaaaa[emoji86][emoji86][emoji86]Nilitaka nikutongoze kabla hujapotea nawaza nikutongoze au niache Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umemaliza kulea?Miss you more..kuna mtu aliniambia ulikua unalea ni kweli?[emoji3]
Teh teh nilikuwa nje ya bara, huko nako nikakutana na majukumu ya kufa mtuMiss you more..kuna mtu aliniambia ulikua unalea ni kweli?[emoji3]
Nitakuwa Sina cha kukupa maana dudu umelikinai [emoji854]Haaahaaaa[emoji86][emoji86][emoji86]
Hebu nitongeze Tena, naweza nikailewa voko
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Teeeh umetuletea nn huko?Teh teh nilikuwa nje ya bara, huko nako nikakutana na majukumu ya kufa mtu
Ndo naanzaWewe umemaliza kulea?
Umbea motroo motroo[emoji39][emoji39]Teeeh umetuletea nn huko?
[emoji3][emoji3][emoji3]haha kama kawaida yako tulikumiss huku sector ya umbea ilipoaUmbea motroo motroo[emoji39][emoji39]