Na mimi ni banker yamenikuta

Na mimi ni banker yamenikuta

Umesha mlaa??....Asiondoke bila kuliwa kwanza. Mwanamme haruki kiboom sema mpige Calendar mwambie mwisho wa mwezi ukipokea mshahara tena kwa kumuonyesha yupo kwenye hesabu zako mpigie hesabu kwamba utapeleka laki 4 kwenye tofali za kumalizia fence ya nyumba yako nyakato.

Then umwambie utamtumia Dogo laki kijijini alafu laki 250 utampa yeye alafu inayo baki itakusogeza kumaliza mwezi na kugonga bia. Sasa basi baada ya mahesabu hayo...kumbuka wakati unaongea hivyo nae unakuwa unaandika kwenye diary.

Alafu sasa kwenye tarehe 20 mpaka 25 make sure unamuita gheto una mwambia una suprise yake....Alafu hiyo suprise wewe pika hata ndizi nyama akifika mwambie umemuandalia yeye. Alafu akiwa Gheto ukashindwa kumtafuna jipige makofi alafu ujiambie wewe ni FALA PLUS.

Ukila mzigo unamsindikiza then unamwambia swala lake unakumbuka na unasubiri mshahara anytime unaingia...Baada ya hapo futa namba yake na sms zake zoooote usimtafute wala kujibu sms zake. Akikupigia pokea na ujifanye humjui hata kidogo yaani muulize wewe ni nani alafu mwambie amekosea namba.

N.B Ni mwiko mwanaume kuachwa au kuachana na mwanamke bila kumla.
 
Unachokitytpe hapa hakina uhalisia
 
Back
Top Bottom