Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

sasa mama............
is it PRACTICAL?

Mkuu ukiwaza kama JK hiyo si practical hata kidogo ila ukitafuta walau data kidogo na kukuna kichwa unaweza kugundua kuwa inawezekana. Kwanza hiyo figure ilianza kutajwa karibia miaka 10 iliyopita, ambapo sasa hivi ingekuwa ni karibia asilimia 500 (kwani KCC ilikuwa chini ya 50000). Kama viongozi wetu wangekuwa na akili basi wangechukua uamuzi wa kufikia kiwango hicho kwa miaka walau 10 kama Kenya. Si ajabu sasa hivi tungekuwa tunaongelea KCC ya laki 5. Hebu tujiulize kidogo; Kwani mishahara ya vigogo na wabunge kwa kipindi hicho imepanda kwa asilimia ngapi?

Kuna jamaa alikuwa anapata 156000 mwaka 2003, na sasa anapata karibia 1.5m. Hizo ni asilimia ngapi? (mimi napata karibia 800%). Wakati huo KCC ilikuwa nadhani kama 35000, kwa sasa nadhani ni 104,000 (202%). Hebu basi angalia na kada nyingine ndo utagundua kuwa kweli watu wa KCC wanonewa na JK haweza kukwepa lawama.
 
never heard such a stupid speech from a so called president. afadhari hata angekuwa Khadija Kopa tungemwelewa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ..

nina hasira ambayo sijui kwakweli,,,kazi hazikufanyika leo na nasubiri tarehe 8may nione
na niawasubiri hawa wazee wa dar ofisini,,,watakoma vidole juu vile
 
Kweli? Kama ulipingia kura basi inabidi tukugomee wewe.

How could u do that? What deceived u? Au hiyo sura mfano wa avatar ndo ilikuingiza mkenge? Naona ulikuwa na malaria kichwani wakati huo na sasa amkupatia dawa mseto. Najua wengi sasa wataanza kupona!

hahahaha uwiiiii angalau wewe umenifanya nicheke kidogo sasa!!
kwakweli duh
 
sasa mama............
is it PRACTICAL?
Kwa myopic brain kama ya JK na wanaomuunga mkono, it is not practical kwa vile hata ombaomba akihama mtaa kutoka anaopata sh 1,000 kwa siku akaenda kwenye mwingine anaopata sh 10,000 ongezeko ni 900% hiyo siyo practical!! I rest my case....
 
never heard such a stupid speech from a so called president. afadhari hata angekuwa Khadija Kopa tungemwelewa!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa ulitegemea nini kutoka kwa mswahili wa Bagamoyo yaaini kwa nchi za wenzetu huu mkutani ndo wangeutumia vizuri sana kuandamana
 
lakini wakuu,
jk naona kama yupo right

Ashakum si matusi mpumbavu mwingine huyu anaunga mkono kudhulumiwa kwa Wafanyakazi wa Tanzania. Ukali kama huu ulikuwa wapi pale mafisadi walipokuwa wanaipora nchi mabilioni ya shilingi. Mishahara ya Wabunge inaongezeka kila mwaka na sasa wanaweza kuafford vitu vingi sana, huko miaka ya nyuma mishahara ya Wabunge haikuwa na tofauti kubwa na ya Wafanyakazi. Iweje mishahara ya wabunge ipande kwa kasi kubwa sana wakati ile ya wafanyakazi ikiendelea kudumaa?
 
sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....jun,july august,sept....october ......october ...

Hapa sijui anawaza nini??
kikwetejk1bc.jpg

umesikia tucta leo
nahisi jibu lake umelipata fl 1
 
sasa mama............
is it PRACTICAL?

Kamanda, Geoff sijuhi unamaanisha nini unapokuwa na walakini wa hiyo 200.012%, nadhani unapotea kidogo kwa kuangalia hizo %ge, ukilinganisha na ukweli halisi wa maisha ya Kitanzania na uwezo wa serikali uliopo, uwezekano wa kulipa hiyo fedha upo, na bila ubishi kabisa maisha ya TAnzania ni magumu mno, ni vile watu wanakula uchafu, wanalala pachafu na wanaugua magonjwa ya umaskini (Maralia, Kipindupindu), hiyo fedha wanayoiomba TUCTA bado pia ni ndogo kwa maisha ya kawsaida ya MTanzania anaefanya kazi yake sawsawa kabisa bila wizi wa aina yoyote

inauma sana kwa mtu mzima badala ya kuangalia fact anakimbila kwenye mambo ya %ge, na kusema kuwa hicho kitu hakiwezekani
 
never heard such a stupid speech from a so called president. afadhari hata angekuwa Khadija Kopa tungemwelewa!!!!!!!!!!!!!!!
ha ha ha watu walijua kuwa kiongozi wa nchi raisi wakamshangilia sana kwamba "mtu wa watu".sifa za kijinga ndio zimempa uraisi kama mtu anabisha aweke hapa sifa yoyote ambayo ya maana ingeweza kumfanya awe qualified kuwa kiongozi wa nchi.
 
Pole sana FL1, wengine tulianza toka jana.

Nilipatwa na kwikwi ya ajabu pale nilipomskia JK akitoa mfano wa Mbayuwayu.

Hivini kweli kuwa hiyo hotuba aliandikiwa na mtoto wake makamba na kumuwekea hiyo hadithi ya mbayuwayu!!!!!!
 
Ashakum si matusi mpumbavu mwingine huyu anaunga mkono kudhulumiwa kwa Wafanyakazi wa Tanzania. Ukali kama huu ulikuwa wapi pale mafisadi walipokuwa wanaipora nchi mabilioni ya shilingi. Mishahara ya Wabunge inaongezeka kila mwaka na sasa wanaweza kuafford vitu vingi sana, huko miaka ya nyuma mishahara ya Wabunge haikuwa na tofauti kubwa na ya Wafanyakazi. Iweje mishahara ya wabunge ipande kwa kasi kubwa sana wakati ile ya wafanyakazi ikiendelea kudumaa?
hukuwa na sababu ya kutukana,hoja ijibu hoja

lazima wawepo!!
tupo sana mama mia,ndo mpango mzima
Kamanda, Geoff sijuhi unamaanisha nini unapokuwa na walakini wa hiyo 200.012%, nadhani unapotea kidogo kwa kuangalia hizo %ge, ukilinganisha na ukweli halisi wa maisha ya Kitanzania na uwezo wa serikali uliopo, uwezekano wa kulipa hiyo fedha upo, na bila ubishi kabisa maisha ya TAnzania ni magumu mno, ni vile watu wanakula uchafu, wanalala pachafu na wanaugua magonjwa ya umaskini (Maralia, Kipindupindu), hiyo fedha wanayoiomba TUCTA bado pia ni ndogo kwa maisha ya kawsaida ya MTanzania anaefanya kazi yake sawsawa kabisa bila wizi wa aina yoyote

inauma sana kwa mtu mzima badala ya kuangalia fact anakimbila kwenye mambo ya %ge, na kusema kuwa hicho kitu hakiwezekani
noted
 
Hivi wale wazee walikua wanashangilia nini?

Nahisi wale wazee walikuwa wanashangilia ''point'' za maana alizokuwa anatoa mwanawao za kuwapasha ukweli wafanyakazi ambao kwa mujibu wa rais ni wazandiki,wafitini,waongo wanaotaka ''kuwadhulumu'' watanzania wenzao kwa kutaka pesa nyingi sana laki 3 ambazo hao wazee hawajawahi kuzishika.Ukijumlisha na pilau,kanga na tshirt walizopewa ziliwatia motisha washangilie zaidi.
 
hahahaha!
nilikuona bwana leo
 
Back
Top Bottom